Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Karim Mandonga leo katika pambano la kuhamasisha Sensa , lililopigwa kwenye viwanja vya Leaders Club amepiga mtu 1st roound na kumaliza ubishi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Erythrocyte napenda sana uandishi wako sijui kwaniniKarim Mandonga leo katika pambano la kuhamasisha Sensa , lililopigwa kwenye viwanja vya Leaders Club amepiga mtu 1st roound na kumaliza ubishi .
[emoji3][emoji3][emoji3]Kamhonga oyaa kula hiki kibunda leo kausha basi namimi nioshe jina mtandaoni...
Mandonga hata mkewe hawez kumpiga [emoji3][emoji3]
ChaiKamhonga oyaa kula hiki kibunda leo kausha basi namimi nioshe jina mtandaoni...
Mandonga hata mkewe hawez kumpiga [emoji3][emoji3]
Hahaahhaha.. Nakazia!Ushindi wake ndio njia yake ya umaarufu kuisha, trust me guys.
Ngumi zenyewe za sensaSasa huyo bondia aliyepigwa na mandonga si bora akalime viazi. Hadi mandonga kampiga kweli???
Hahahaah... HatarriKuna siku Mandonga aling'atwa na nyoka mwenye sumu kali..... baada ya siku 5 za uchungu mkubwa, nyoka akafa!!!!