Mandonga ni fursa ya kufufua boxing, aangaliwe kwa jicho la kibiashara, anapromoti vizuri sana

Mandonga ni fursa ya kufufua boxing, aangaliwe kwa jicho la kibiashara, anapromoti vizuri sana

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Binafsi niliacha kufuatilia ngumi baada ya checka na Rashid matumla kustaafu, lakini ni hivi karibuni naanza kufuatilia mchezo wa boxing kutokana na Tambo za mandonga.

Kuna vitu kidoogo anavikosa, sponsors wakimuona, atakuwa vizuri. Huyu jamaa ni fursa ya kuunyanyua mchezo wa ngumi
 
Mtu kazi.
Akina Floyd na Gipsy king huwa wanafanya buildup ya mapambano yao kwa tambo miezi kadhaa kabla ya pambano lenyewe, hii inajenga shauku sana kuhusu pambano lenyewe, naona mandonga kwenye hiyo sekta ya buildup yuko vizuri... Mabondia wengine wajifunze hasa pale wanapo pambana mapambano ya burudani zaidi (nadhani wanaita hisani).
 
Binafsi niliacha kufuatilia ngumi baada ya checka na Rashid matumla kustaafu, lakini ni hivi karibuni naanza kufuatilia mchezo wa boxing kutokana na Tambo za mandonga.

Kuna vitu kidoogo anavikosa, sponsors wakimuona, atakuwa vizuri. Huyu jamaa ni fursa ya kuunyanyua mchezo wa ngumi
Mtakuja kufanya afie ulingoni....Tambo alafu anacheza na Kifo huku wengine wakiingiza mkwanja!!?

Mandonga Shtukaaa Utakufa Bure
 
Mandonga mtu kazi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asije akafia ulingoni bure, uwezo hana halafu anachonga sana, atadharaulika mapema na kuaibisha waandaji kwa fight za hovyo,abaki kama muongeaji na siyo mpiganaji
 
mie mwenyewe simjui nimekuta watu wanamuulezea mandonga nikauliza kapigana na nan wananijibu awajui ila wanachojua kapigwa na bwana mdogo ila mandonga katawali mitandao yote
kwanza hata aliyempiga Mandonga watu awamjui raia wamesimama na Mandonga[emoji23][emoji28]
 
Uzuri wake sio muoga wa waandishi, anajua kuongea na media. Hata alivyopigwa baada ya pambano akasema ni kazi ya mola mimi ni nani wa kupinga, kushindwa ni sehemu ya mchezo,asiyekubali kushindwa sio mshindani, tofauti kabisa na wengine ambao hutoa visingizio visivyokuwa na kichwa wala miguu!!
 
Back
Top Bottom