Mtakuja kufanya afie ulingoni....Tambo alafu anacheza na Kifo huku wengine wakiingiza mkwanja!!?Binafsi niliacha kufuatilia ngumi baada ya checka na Rashid matumla kustaafu, lakini ni hivi karibuni naanza kufuatilia mchezo wa boxing kutokana na Tambo za mandonga.
Kuna vitu kidoogo anavikosa, sponsors wakimuona, atakuwa vizuri. Huyu jamaa ni fursa ya kuunyanyua mchezo wa ngumi
Roho mbaya ugonjwa,, unatibika,nitashangaa sana kampuni itakayosponsor huu ujinga wa kina mandonga
kwanza hata aliyempiga Mandonga watu awamjui raia wamesimama na Mandonga[emoji23][emoji28]