Mandonga ni fursa ya kufufua boxing, aangaliwe kwa jicho la kibiashara, anapromoti vizuri sana

"Karim Mandonga anayumba haelewi"

"Karim Mandonga yupo hoi, yale maneno yako wapi"

"Karim Mandonga yupo kwenye matatizo mazito, anahesabiwa anasema bado yupo safari hii hakubali"

"Karim Mandonga yupo kwenye hali Ngumu"

Mtangazaji alimkosea sana Mandonga [emoji23][emoji23]
 
We unadhani kina cheka walikuwa wanatamba bila uwezo
 
Huyo anayepigwa ngumi moja chali[emoji1787]
 
Mandonga mtu kazi jembe imara kwenye ngumi kuna matokeo matatu.

Kampromoti hata huyo Rashidi Kaoneka alikuwa hajulikani kabisa.

Mandonga akishinda mchezo haunogi kabisa.
Mandonga inatakiwa akandwe ndio anaongeza thamani na followers

Ningekuwa mdhamini wa ngumi ningemtafuti kabondia ka kibonde akakande ashinde japo mara moja.

Tupo na Mandonga hadi afie uringoni
 
Tupo na Mandonga hadi afie uringoni[emoji23]
 
Mandonga hata wakikuulia ulingoni mi bado niko upande wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
nitashangaa sana kampuni itakayosponsor huu ujinga wa kina mandonga
Akili ndogo sana mkuu, makampuni yanaangalia Popularity ya mtu na sio uwezo wa mtu, kwa taarifa tu, Mandogo licha ya kuandaliwa mapambano mengi zaidi amepata dili zaidi ya 5, ikiwemo k4 security

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni shabani sio rashid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni shabani sio rashid

Sent using Jamii Forums mobile app
Shabani kaoneka anaoneknani ni bondia mwenye stamina kubwa. Naskia alishawahi kumkanda hata Bondia Mwakinyo kwa Knockout,

Sijui ni kwa nini hawampi mapambano.

Ningekuwa mdhamini ninge wapambanisha Shabani Kaoneka na yule Bondia aliyempiga Mandonga kabla ya Kaoneka.
Anaonekana naye ni Bondia mzuri sana.
Pambano lingekuwa la Moto kweli
 
Ila umri wake unainekana umatembea sana nazani ndio sababu ya kuishiwa pumzi mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…