Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
😊😊flash nzima imejaa manyimbo ya aslay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😊😊flash nzima imejaa manyimbo ya aslay
Bila kuwasahau WCB[emoji847][emoji4][emoji4]flash nzima imejaa manyimbo ya aslay
💪
Lodge za nini wakati nimepanga chumba ninaishi mwenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...u made my day!leo nakuspea!..khaa..mdogo wangu ww..lodge zote watatukataa...[emoji23][emoji23][emoji23]
mtume alimuoa Bi Khadija wakati kiumri aliachwa mbali sana .Jamani jamani jamani Dada,[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Dada mimi sijamaliza form 4mwaka Jana. Huyo ni Mdogo wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moyo ,macho na maskio ndio hutoa utashi kamilifu wa wapi pa kupenda na wapi pa kuachana napo, nimekuzimikia wewe pekee.wewe@sadari atleast umtongoze hyu babydoll ndo agemate wako...sema haka nako kazuri mno katakusumbua[emoji23][emoji23]
kausha mdausadari unazingua mkuu. wewe kazana na shule. mtu mwenyewe hata hela ya gest unataka uchangiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana..ukiwa expert member huna haja ya kutongoza
Ukihitaji unapewa na muhusika
Jitahidi sasa uupate u-expert
Lol hahaaIt is senseless.
You do not deserve my attention.
You are just a horny brat.
Hahaaa.. nimecheka sanaHahaha haya bhana! All the best
Hivi hili ni Tongozo au ni dharau au ni kitu gani? She is Money Girl kisukuma ndio wanasema Manengelo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugali wetu hapa mjini[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] unanijua vizuri aisee
ukisikia Mungu hamtupi mja wake ndo hiii sasa 😂😂inaitwa bandika bandua😅😅...ww naomba uwe planner wa kiĺa kitu..naelekea kumkubali jamaa😊😊Rafiki yangu manengelo kapata bonge la bwana 😂😂