Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Rudisha ile avatar ulivyonyoa dengeKwahiyo wewe ni mbwa🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudisha ile avatar ulivyonyoa dengeKwahiyo wewe ni mbwa🤣🤣
Umeeleweka vizuri, wewe ni me au ke ?Sio wanawake wote ni materialist au ni dependants golikipa.
Ambao ukiomba namba tu nywele zinafumka(anataka aende salon),gesi inaisha,kodi ya nyumba inaisha,mama anaugua,simu inaisha vocha,mavazi /viatu,mikoba yanaisha au anatakiwa sare za kuvaa kwenye matukio,nauli inaisha ,bando,n.k anakuletea bills nyingi uzilipie kana kwamba wewe ni sponsor kama wanavyosema enzi zetu zamani walikuwa wanaita buzi.kuchuna buzi.
Wengine wanaamini mwanamke anayekupenda hakuombi hela na wanaume wengine wanaaamini asipoombwa hela hapendwi na anakosa kumuamini au kujiamini.
POINT ninayoisema SIO WANAWAKE WOTE wapo kimaslahi,
Kuna superwoman ambao ni wife materials ,kwanza ni wapambanaji hawapendi kuwa tegemezi kwa kila kitu ,wana mawazo ya maendelea wana mchango katika familia na wanaupendo wa dhati.Pia ni wavumilivu waaminifu na wana hofu ya Mungu.
VIJANA AMBAO HAWAJAOA AU WALIOPATA CHANGAMOTO ZA MAHUSIANO.
Niwashauri wasife moyo wasikate tamaa wamuombe Mungu awape neema ,awapatie WENZA SAHIHI wakuendana nao.Mungu alipomuumba mwanadamu Adamu alimletea na mke Eva.Hata sasa ukimuomba Mungu atakupa mke au mume sahihi.
Vijana wa kiume na wakike nao wajitahidi kufanya kazi.Kazi ndio kipimo cha utu.Vijana wa kiume na wakike wasichukulie mahusiano kama ndio kazi au kitega uchumi,kuna vijana wa kiume wanajiuza wanaolelewa na mashangazi na vijana wakike wanajiuza kwa shugadadi au sponsor Vijana walioko masomoni ,wafuate kilichowapeleka shule wasijiingize katika tamaa mbaya za kujiuza na kuuza utubwak kwa tamaa ya pesa mafanikio ya haraka.
POLENI SANA WOTE MLIOPITIA CHANGAMOTO YA KUPATA WENZA WASIOSAHIHI.
Mungu awasaidie mpate wenza sahihi,msikate tamaa,msichukie mahisiano,msichukie ndoa ,Mungu awasaidie mpate wenza sahihi,ili muweze kufurahia maisha ya mahusiano.
MEUmeeleweka vizuri, wewe ni me au ke ?
😂 mgumu kuelewa lakini mwepesi kusahau.Kamechangia tu ila hakajaelewa kitu🤣🤣
Endelea kusikiliza sauti kichwani kwako juu ya wake za watu, soon utakuwa gay😀Nikiwa home nachota maji au nafua,
Nikiwa kibanda umiza,
Nikiwa kazini balaa
Nikiwa barabarani
Kila ninapokutana au kupishana na dadaz wengi kunakua na sauti nahisikia... ndani yao zikisema..
Nipende nikupe majukumu,
Nitamani ili unieleze nakula wapi na nitalala wapi..
Chukua namba yangu ujue vyenye niko na mashida na haja na mwanaume kama wewe..
Nasio dadaz tu hadi mishangazi wake za watu.
Mke wa mtu anakuita umsaidia kuweka Luku kwenye chumba chake, just she can't believe that you are oky to live alone.
Kama niliweza Kustahimili mikiki kipindi nafanya kazi ya Uwakala Tigopesa, hata sasa najua nitasimama,
Avoid women
Surya Mtu Kazi am not a gay
🤣🤣😂 mgumu kuelewa lakini mwepesi kusahau.
Uliamua kulipizia?Mno shindikana ,mimi ni katoto ka dogi🤣
Hapana shindikana siwezi mlipiza mtuUliamua kulipizia?
🤣🤣🤣🤣🤣 hadi sisi wananchi?Hapana shindikana siwezi mlipiza mtu
,mimi nampenda kila mtu na viumbe vyote🤗
Napenda viumbe hai vyote , shindikana wangu😊🤣🤣🤣🤣🤣 hadi sisi wananchi?
Wacha we!Napenda viumbe hai vyote , shindikana wangu😊
Ndio shindikana wangu , ni wewe unashindwa kunielewa tu🤗Wacha we!
Usisahau kwamba anapiga nyenga kwa hio mark ataiacha kwenye kuta anazoishi kwa kuzimwagia mabao kila mkono unapofanya kazi yake mkononiWewe ni strong man utafika mbali Sana and you will leave a mark in this entity
hahahaaaaaSifa tu, umeelewa nini🤔