mtu wa makumbushoππππKuna sehemu niliishi wakawa wananiita undercover, basi nikawa nawashangaa na wao wananishangaa wananikwepa eti ntu ya sistimu, sasa mimi jobless na sistimu wapi na wapi?
Ni kweli huna kitumbo?Ni jana kuna bwana mmoja kaletwa nilipo kisa amekatwa pua na mgoni wake .
Binadamu wa watu napambania uhai wake walau kesho awe na good appearance nikatoka kidogo ili niende theatre 4 sasa wamekuja nduguze wanamuuliza ulikuwa na mtoa huduma yupi anawajibu yule kitumbo tumbo mda huo nimesharudi niko dirishani hakika nilijihisi kufedheheka ukizingatia ndugu zake ni mabinti wadogo na wazuri ila hakuona shida mbali na care ninayompa bado akaniita kitumbo tumbo
Huyo ulitakiwa umshone bila ganzi hilo lipua!Ni jana kuna bwana mmoja kaletwa nilipo kisa amekatwa pua na mgoni wake .
Binadamu wa watu napambania uhai wake walau kesho awe na good appearance nikatoka kidogo ili niende theatre 4 sasa wamekuja nduguze wanamuuliza ulikuwa na mtoa huduma yupi anawajibu yule kitumbo tumbo mda huo nimesharudi niko dirishani hakika nilijihisi kufedheheka ukizingatia ndugu zake ni mabinti wadogo na wazuri ila hakuona shida mbali na care ninayompa bado akaniita kitumbo tumbo
JF:Mtaani:
1. Muarabu/Mpemba
2. Blenda
JF:
Msagaji
Ni kweli lakini sikupenda kuwa hiviNi kweli huna kitumbo?
Utaskia chief vpHi chit chat,
Mimi
Mtaani
1. Cheupe
2. Wa kishua
3. Mwanachuo
JF
1. Mwanaume
2. Kuna member miaka ileeee aliniPM kuniambia "kumbe wewe ni bigmind " akimaanisha mimi na hiyo ID ni mtu mmoja
Huwa wananishangaza kwasababu sio ya kweli lakini sikerekwi
Uzi tayari.
View: https://youtu.be/8qVDDDoT0rY?feature=shared
Yan niko tofauti kabisaaaLakini sio kweli sio?
Kitumbo tumbo dharau kubwa Sana SanaaNi jana kuna bwana mmoja kaletwa nilipo kisa amekatwa pua na mgoni wake .