Maneno gani huwa unaitwa yanakushangaza lakini hayakuboi?

Kitutufye πŸ˜‚
Msamehe bure
 
Ni Imani yangu ulimtibu vizuri bila kuipindisha pua yake 😁
 
Kuna hili

Tajiri, mara padre, afu unakuta mtu anaita mwanaume cheupe duh , Ila fresh tuu
Mimi sehemu nyingi huwa wanapenda kuniita BROTHER WHITE.

Ama white vipi? Ni kawaida na nimezoea.

Wapwa zangu huniitaga UNCLE KITAMBI ama UNCLE BONGEE.

Haya ndio majina pendwa kwa watu stranger nao kutana nao.
 
Mimi sehemu nyingi huwa wanapenda kuniita BROTHER WHITE.

Ama white vipi? Ni kawaida na nimezoea.

Wapwa zangu huniitaga UNCLE KITAMBI ama UNCLE BONGEE.

Haya ndio majina pendwa kwa watu stranger nao kutana nao.
Aseeh kumbe hii ya white/cheupe kila mahali,

Me nichukulia poa tuu, πŸ˜‚ Ila ndo hivyo
 
Ila Mimi huwa nipo seriously Sana watu huniogopa.
Ila ni mtu poa Sanaa 😊
Mbona tunataka kuendana kiasi ,

Nakumbuka Jana jamaa angu ananiambia kuna Dem ananielewa Ila ananiogopa nipo serious sana πŸ˜‚


Hata jamaangu anashangaa of course kumzoea mtu mgeni ni kazi kdg au kuzoeana hasa ambao tumekutana tuu accidentally...

Wengi wanaona nipo serious Ila Niko poa sana ni vile sitaki tuu kuwa muongeaji
 
Itakua sababu tuna SHARE BLOODLINE na ancestors wetu from Kilimanjaro ☺️😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…