Maneno 'HAPA KAZI TU' yaondolewe kwenye mali za nchi, yanatia aibu na wala hayana maana yoyote

Haaaa haaaaaa. Unahangaika, hili neno litadumu vizazi adi vizaziii, iliwajue Kuna mwamba ambae Yuko kifuani mwa Ibrahim ambae alifanya vitu tangibleee
Hujakatazwa , kama unalipenda kaliandike nyumbani kwako
 
Hujakatazwa , kama unalipenda kaliandike nyumbani kwako
Kama una ubavu nenda kalitoe na kesho hapa Mwanza tunaishusha meli yetu ya "MV Mwanza Hapa Kazi Tu" kwenye ziwa letu Victoria. Kunywa sumu ufe wewe kibibi cha Temeke!!
 
Wivu ukizidi Sana unageuka kuwa Ujinga!

Ndicho ulichodhihirisha hapa!
 
Hujakatazwa , kama unalipenda kaliandike nyumbani kwako
Kwani Mimi ni raisi wa nchi? Hujui raisi wa nchi ni icon kubwaa kitaifa. Tena endeleaa kulisoma ili uendelee kukeleheka na kukumbuka shujaa yule alieko mbinguni Kwa Yesu.
 

Naunga mkono hoja. Wachague kuyaondoa au wasubiri tukuje sisi kuyaondoa.

"Just a matter of time." -- beberu
 
Na huu nao ni ujinga wa vijana wendawazimu wa chama kinachojiita kina watu werevu!

Na kukesha mitandaoni kuchafua watu kwa kufikilia namna ya vipi uwaandike ili ueleweke,

Napo unatimiza moja ya neno la Hapa kazi tu

Unadhani kushinda ukichapisha mandiko hapa kwani ni uzembe?
 
Mkishindwa kuyaondoa kistaarabu yataondolewa na wananchi
 
Ndivyo baadhi ya wenzetu walivyo. Mijitu mivivu na yenye roho mbaya sana. Madhara yake ni nini na yapi?
Mbona walipoyaandika wakati ule hamkulalamika au woga na unafiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…