Maneno 'HAPA KAZI TU' yaondolewe kwenye mali za nchi, yanatia aibu na wala hayana maana yoyote

Hapana - VISIT TANZANIA ingekuwa bora zaidi. Wekeni uzalendo mbele! -- JPM.

Ni vigumu kutambua Hilo?
Kwani ni vigumu kutambua kuwa kazi ni msingi wa maendeleo? Au wakati tunaasisi hiyo misemo nyie mlikuwa bado watoto?
 
mwambie Mbowe naye ajenge hata Choo tu ni aibu limwrnyekiti likatili kuiba Mali za chama na kwenda kuwagawia wanawe na mahawara zake akina Joyce Nkya amezeeka bila kuacha legacy yotote ni aibu
Huna hoja wewe kapuku , nakuhakikishia kwamba huo ujinga utafutwa tu , Subiri .
 
We kenge hutaki kufanya kazi?mliberari mwenzenu karudi kulamba asali yake sasa unahamia maneno yameandikwa kwenye ndege.
Manyumbu mna tabu sana
 
Subiri mkiingia Ikulu mtapata nafasi ya kufuta. Kwahiyo unataka kila kitu kiandikwe ili kuwavutia wageni? CHADEMA mtawatumikia watanzania au hao mabeberu? Futa hii post unamharibia Mbowe na chama chake.
 
mwambie Mbowe naye ajenge hata Choo tu ni aibu limwrnyekiti likatili kuiba Mali za chama na kwenda kuwagawia wanawe na mahawara zake akina Joyce Nkya amezeeka bila kuacha legacy yotote ni aibu
Kajenga ofisi za Kanda, kanunua magari ya M4C, Kakijenga chama Leo hii kipo Kila mtaa hii nchi, kadhamini personally campaign za waliokuja kuwa wabunge, kaanzisha Chadema digital, kaongeza wanachama kutoka laki 2 Hadi million 6!! Wabunge kutoka 5 pekee Hadi zaidi ya 80 mwaka 2015!! Hayo mafanikio ni zaidi ya choo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…