utaharisha wewe Magufuli atakuua kwa presha kesho meli ya hapa kazi tu inazinduliwa wewe
yule babu kikongwe Mboye kazeeka vibaya sana
Kwani shujaa wenu ana umri gani? Kwamba wewe hujui;
"Old is gold?" -- beberu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utaharisha wewe Magufuli atakuua kwa presha kesho meli ya hapa kazi tu inazinduliwa wewe
yule babu kikongwe Mboye kazeeka vibaya sana
Nje ya madamwambie Mbowe naye ajenge hata Choo tu ni aibu limwrnyekiti likatili kuiba Mali za chama na kwenda kuwagawia wanawe na mahawara zake akina Joyce Nkya amezeeka bila kuacha legacy yotote ni aibu
HayaMgongo wa shangazi yako mleta uzi.
Kwani ni vigumu kutambua kuwa kazi ni msingi wa maendeleo? Au wakati tunaasisi hiyo misemo nyie mlikuwa bado watoto?Hapana - VISIT TANZANIA ingekuwa bora zaidi. Wekeni uzalendo mbele! -- JPM.
Ni vigumu kutambua Hilo?
Akijibu nistueKwani shujaa wenu ana umri gani? Kwamba wewe hujui;
"Old is gold?" -- beberu.
Aliotaka kuwauwa wako hai , bali yeye hayupo ! hili ni funzo kwakolidj lenu lina faida gani na lile bqga fresh lenu yana faida gani Sasa oneni aibu basi kumfananisha Magufuli na vitu vya kijinga
Kwani ni vigumu kutambua kuwa kazi ni msingi wa maendeleo? Au wakati tunaasisi hiyo misemo nyie mlikuwa bado watoto?
Kaeni kwa kutulia zote tutazifutakesho Kuna Meli ya hapa kazi tu mtafura nyie hivi mbowe akifa atakumbukwa kwa lipi kunywa konyagi na kutongoza wake za watu
Huna hoja wewe kapuku , nakuhakikishia kwamba huo ujinga utafutwa tu , Subiri .mwambie Mbowe naye ajenge hata Choo tu ni aibu limwrnyekiti likatili kuiba Mali za chama na kwenda kuwagawia wanawe na mahawara zake akina Joyce Nkya amezeeka bila kuacha legacy yotote ni aibu
Ujauzito mchanga unakusumbua sio bure.Hivi ukiulizwa maana yake nini utajibuje ?
mtafariki nyie kama gubu mqsengerema ninyi mwanaume anaishi akiwa amelala anawatesa mna kihoro mnalia mnahangaika mnateseka
Ule ujinga utafutwa tuuu maana unaweza sababisha ajali ya zile ndege. Mungu alimlaani magufuli ndio maana akamfuta Kwenye uso wa ardhi na ile midege msipofuta msimtafute mchawi.majitu hayajitambui yametukanwa sana na Afandele
Subiri mkiingia Ikulu mtapata nafasi ya kufuta. Kwahiyo unataka kila kitu kiandikwe ili kuwavutia wageni? CHADEMA mtawatumikia watanzania au hao mabeberu? Futa hii post unamharibia Mbowe na chama chake.Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.
Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.
Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?
Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
Aashaozahahaaa Jengeni Choo cha chadema muandike mabaga fresh wetu analamba Asli na mwenyekiti wetu ni mnywa konyagi mfyuuuuu
Kwa makasiriko hayo hamieni chattle makaburini hukosubiri mwaka 2100 hizi zikiharibisha fuvu lako litajulishw
Kajenga ofisi za Kanda, kanunua magari ya M4C, Kakijenga chama Leo hii kipo Kila mtaa hii nchi, kadhamini personally campaign za waliokuja kuwa wabunge, kaanzisha Chadema digital, kaongeza wanachama kutoka laki 2 Hadi million 6!! Wabunge kutoka 5 pekee Hadi zaidi ya 80 mwaka 2015!! Hayo mafanikio ni zaidi ya choo!!mwambie Mbowe naye ajenge hata Choo tu ni aibu limwrnyekiti likatili kuiba Mali za chama na kwenda kuwagawia wanawe na mahawara zake akina Joyce Nkya amezeeka bila kuacha legacy yotote ni aibu
Imebidi nicheke tumwambie Mbowe naye ajenge hata Choo tu ni aibu limwrnyekiti likatili kuiba Mali za chama na kwenda kuwagawia wanawe na mahawara zake akina Joyce Nkya amezeeka bila kuacha legacy yotote ni aibu