Maneno 'HAPA KAZI TU' yaondolewe kwenye mali za nchi, yanatia aibu na wala hayana maana yoyote

Hapana. Unajidanganya wale wapiga kura milioni 6 karibu wote walikuwa wafuasi wa Lowassa ambao kwa sasa wamesharudi CCM ukiongeza na wale wanachama waliokikataa chama kutokana na itikadi za Lissu kutetea ushoga utaona wanachama hai wa chama cha Mbowe waliobaki ni kama laki 1. Kwenye uchaguzi mkuu mgombea wenu atafikisha kura hata milioni ambazo nyingi ni za huruma na sio kwa sababu ya sera.
 
Uzi wa kinafiki kabisa , sijui. Jf moderators kwanini hawaufuti maana ni pure unafiki na chuki kabisa


Cc. ContentCreator
 
Ukifuta slogan ya hapa kaz tu,outomatic umefuta slogan ya kaz iendelee,kitu ambacho hakiwezekan kwa sasa.subili 25 kipind cha uchaguz waje na slogan nyingne.ndenge inafanya kazi na meli ikikamilika itafanya kaz tu,sasa mbona unataka kaz tu ifutwe.
 
Yangekuwa bora zaidi kwanini tusijikite kwenye ubora ambayo ndiyo hoja?

Communication skills nani mwenye haki ya kumhukumu mwingine?
Ni kweli kabisa,
Lakini ikifatilia hoja nyingi zinazojengwa ni response dhidi ya lugha ya chuki na dharau aliyotumia kwa waasisi maneno hayo.
Maana kushindwa kwake kuelezea in case akiulizwa maana ya 'hapa kazi tu' haimaanishi kwamba maneno hayo hayana maana, ila ni uwezo wake tu mdogo katika kujielezea.
Bado hoja yake ni ya msingi iwapo asingetumia lugha inayoibua hisia za chuki.

Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
 
una akili duni sana !
 
Ni HIVI HIVI TUU, , MDOGO MDOGO. CHUKI UNAFIKI UZANDIKI. , MARA PAAAH MATUKIO YA MAUWAJI WA KIMBARI NCHINI RWANDA YALIANZA YAAANI , UNAFIKI UNAFIKI KIDOGO KIDOGO TUU KUTUMIA , MEDIA PLATFORMS. AS DAYS GOES NDO YAKATOKEA YA KUTOKEA
THE REST IS HISTORY ,




JUST UKIJIONA HUNA CHA KU POST ACHA HII NI SOCIAL MEDIA PLATFORM IPO NCHI NZIMA UCHOCHEZI WA KINAFIKI UNAWEZA LETA MTAFARUKU










KUMBUKA BADO YUPO AKILINI MWA WA TANZANIA WENGI KUMBUKA HILO








UNAPOKUWA UNA COMMENT NEGATIVE ON ANYTHING......REGARDING HIM JUA. UNA COMMENT ON BEHALF OF MORE THAN. 70% TANZANIANS.

JUA HILO..



 
Bado hujajifungua tuu.? Au hy mimba ya Lissu inakaa miaka.?
 
Hata shetani yumo akilini mwa wengi
 
Ule ujinga utafutwa tuuu maana unaweza sababisha ajali ya zile ndege. Mungu alimlaani magufuli ndio maana akamfuta Kwenye uso wa ardhi na ile midege msipofuta msimtafute mchawi.
Wewe na chama chako kwa akili hii ndiyo ulitegemea mpewe nchi na wananchi kwa sababu ninyi mtaishi milele au vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…