MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hapana. Unajidanganya wale wapiga kura milioni 6 karibu wote walikuwa wafuasi wa Lowassa ambao kwa sasa wamesharudi CCM ukiongeza na wale wanachama waliokikataa chama kutokana na itikadi za Lissu kutetea ushoga utaona wanachama hai wa chama cha Mbowe waliobaki ni kama laki 1. Kwenye uchaguzi mkuu mgombea wenu atafikisha kura hata milioni ambazo nyingi ni za huruma na sio kwa sababu ya sera.Kajenga ofisi za Kanda, kanunua magari ya M4C, Kakijenga chama Leo hii kipo Kila mtaa hii nchi, kadhamini personally campaign za waliokuja kuwa wabunge, kaanzisha Chadema digital, kaongeza wanachama kutoka laki 2 Hadi million 6!! Wabunge kutoka 5 pekee Hadi zaidi ya 80 mwaka 2015!! Hayo mafanikio ni zaidi ya choo!!