Maneno 'HAPA KAZI TU' yaondolewe kwenye mali za nchi, yanatia aibu na wala hayana maana yoyote

Kwenye kichwa cha habari umesema hayo maneno hayana maana yoyote,ikimaanisha hayana athari yoyote,sasa ni nini shida hadi wewe kutaka yaondolewe?
 
Kweli kabisa, hii slogani ilikuwa inanichefua kabisa na sikuwahi kuona maana ya "hapa kazi tu" mimi nilikuwa kila wakati najua kinachoendelea ni "hapa upigaji tu, hapa udikteta tu, hapa ubaguzi tu, hapa uuaji tu". Tufute kabisa slogani hii ya kishenzi.
 
Hwbu acha maneno unajua hizo ndege zilinunuliwa kwa bei gani na kwa bajeti ipi iliyopitishwa a bunge.
 
Wewe mbona mzito mno kuelewa? Pamoja na uchache wa wanachama mtapata kura zaidi ya milioni moja ambazo nyingi ni kura za huruma. Bahati mbaya hazitawasaidia kushinda
Kivipi za huruma ilihali CCM imeshindwa Kila kitu? Hivi 2025 kwenye kampeni mtawaambia Nini wananchi? Ilihali bei ziko juu, no umeme , no Maji, no ajira, wakulima kilio n.k ni kundi Gani litawapigia kura? Mind you Mama Samia ni mzenji so Hana mtaji wa kura huku bara so bila kula za huruma hakuna mwenye akili timamu ataichagua CCM
 
Nakumbuka Helcopta iliyomuua Deo filikunjombe iliandikwa HAPA KAZI TUU
Magufuli alikuwa hajawa raisi bado
 
Ndio maana nasema kunahitajika msaada wa kisaikolojia, sasa wewe huo msemo tu ulikuwa unakuchafua unashindwa kuishi kwa raha kisa msemo ambao unakiri hauna maana yeyote.

Nashukuru sana Mungu kwa kuniepusha haya mnayoyapitia wenzangu, muhimu ni msaada tu wa kisaikolojia.
 
Kama Kiranga anaamini mtu akifa ndio kaishia hapo basi JPM naye kaishia hapo but bottom line hayupo Tena duniani so huwezi muita mwanaume labda marehemu au Mzoga au maiti!!
Ndio umenijibu nini kutokana na nilichokiuliza? Sijakupata vizuri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…