Maneno 'HAPA KAZI TU' yaondolewe kwenye mali za nchi, yanatia aibu na wala hayana maana yoyote

Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.

Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.

Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?

Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
Leo ndio mnajua ni mali ya nchi, kipindi ambacho magufuli anataka kujenga hiyo meli kutwa nzima mlikuwa mkimnanga humu, eti leo imekuwa meli ya nchi hakika unafiki huwa haumuachi mtu salama, na bado daraja la kigongo busisi naomba na lenyewe mseme ni mali ya nchi.
 
Subiri mkiingia Ikulu mtapata nafasi ya kufuta. Kwahiyo unataka kila kitu kiandikwe ili kuwavutia wageni? CHADEMA mtawatumikia watanzania au hao mabeberu? Futa hii post unamharibia Mbowe na chama chake.
sifuti hata kwa risasi 38
 
Kajenga ofisi za Kanda, kanunua magari ya M4C, Kakijenga chama Leo hii kipo Kila mtaa hii nchi, kadhamini personally campaign za waliokuja kuwa wabunge, kaanzisha Chadema digital, kaongeza wanachama kutoka laki 2 Hadi million 6!! Wabunge kutoka 5 pekee Hadi zaidi ya 80 mwaka 2015!! Hayo mafanikio ni zaidi ya choo!!
Unaelimisha matope , hayatakuelewa
 
Yangekua Bora zaidi,
Sema tu mtoa maada amekosa ustaarabu wa kimawasiliano,
Kwa kifupi,Hana communication skills

Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app

Yangekuwa bora zaidi kwanini tusijikite kwenye ubora ambayo ndiyo hoja?

Communication skills nani mwenye haki ya kumhukumu mwingine?
 
KATI YA WATANZANIA WATAKAO KUMBUKWA SANA VIZAZI NA VIZANI NI HUYO MTANZANIA ALIYETUNGA HIYO SENTENSI..(NO NEED TO MENTION B'COZ MTOA. MADA KAONYESHA NA KASEMA INDIRECT NA SISI TUNASEMA NA KU-REPLY INDIRECT) .....TRUST ME SERIOUSLY....YETU MACHO. WATU WANAPITA DODOMA WANAANGALIA KAZI YA 5 YEARS YA JASHO LA MTU MMOJA TUU KUENDELEZA MJI HUO. SASA WEKA HIYO AKILINI PLUS CHUKI , UNAFIKI , UZANDIKI WA KUFAGILIA VITU VISIVYOKUWA NA MSAADA NA WEWE. HIVI JIULIZE WEWE MTOA MADA JAMBO MOJA TUU HULIPOKUWA UNASOMA ELIMU YA CHEKECHEA MPAKA , CHUO KIKUU SIJUI KAMA UMEFIKA DODOMA (MAJOR ACCOMPLISHMENT OF 5 YRS OF A SINGLE PERSON) ULIKUWA UNASOMA NI KAMA MIJI MINGINE AU ?
 
Nikiangalia masoko hospital hospital barabara alizo jenga jamaa hakuna wakufananisha nae yule jamaa alikua amenyooka ukiona unamchukia jua ulikua mwinzi wa serikali [emoji867][emoji867][emoji867]
 
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa wahusika wote pamoja na wenye mali ambao ni wananchi.

Kuwepo kwa maneno haya ya kijinga kwenye ndege zilizonunuliwa kwa hela za wananchi, au unaweka maneno haya kwenye meli zetu ni upuuzi usio na mfano. Haya yanafanywa na makondakta wa daladala za DSM kwa lengo la kujiliwaza kutokana na foleni za mkoa huo.

Kama tunataka kuchorachora ndege zetu au meli zetu basi tuchore maandishi ya maana, kama Timu ya Simba imeweka nembo ya 'VISIT TANZANIA', kwanini msifanye hivyo kwenye mali za Taifa badala ya kutuwekea mavitu yasiyo na maana?

Hivi ukiulizwa na wageni maana ya 'HAPA KAZI TU' utajibu nini? mbona mnatudhalilisha kirahisi namna hii? Tafadhali sana TUHESHIMIANE.
Wewe hayo maneno yanakupunguzia nini au yanakuongezea nini?
 
Naunga mkono hoja yaanze kuondolewa kwenye huu uzi ili kulinda heshima ya JF na taifa kiujumla😁
 
KATI YA WATANZANIA WATAKAO KUMBUKWA SANA VIZAZI NA VIZANI NI HUYO MTANZANIA ALIYETUNGA HIYO SENTENSI..(NO NEED TO MENTION B'COZ MTOA. MADA KAONYESHA NA KASEMA INDIRECT NA SISI TUNASEMA NA KU-REPLY INDIRECT) .....TRUST ME SERIOUSLY....YETU MACHO. WATU WANAPITA DODOMA WANAANGALIA KAZI YA 5 YEARS YA JASHO LA MTU MMOJA TUU KUENDELEZA MJI HUO. SASA WEKA HIYO AKILINI PLUS CHUKI , UNAFIKI , UZANDIKI WA KUFAGILIA VITU VISIVYOKUWA NA MSAADA NA WEWE. HIVI JIULIZE WEWE MTOA MADA JAMBO MOJA TUU HULIPOKUWA UNASOMA ELIMU YA CHEKECHEA MPAKA , CHUO KIKUU SIJUI KAMA UMEFIKA DODOMA (MAJOR ACCOMPLISHMENT OF 5 YRS OF A SINGLE PERSON) ULIKUWA UNASOMA NI KAMA MIJI MINGINE AU ?

Huyu huyu?

FnzAtagX0AIXEAW.jpeg

Labda mwingine.
 
Nikiangalia masoko hospital hospital barabara alizo jenga jamaa hakuna wakufananisha nae yule jamaa alikua amenyooka ukiona unamchukia jua ulikua mwinzi wa serikali [emoji867][emoji867][emoji867]

Mengine ya kudanganyana chattle:

FoVixEVWAAAou0r.jpeg
 
KATI YA WATANZANIA WATAKAO KUMBUKWA SANA VIZAZI NA VIZANI NI HUYO MTANZANIA ALIYETUNGA HIYO SENTENSI..(NO NEED TO MENTION B'COZ MTOA. MADA KAONYESHA NA KASEMA INDIRECT NA SISI TUNASEMA NA KU-REPLY INDIRECT) .....TRUST ME SERIOUSLY....YETU MACHO. WATU WANAPITA DODOMA WANAANGALIA KAZI YA 5 YEARS YA JASHO LA MTU MMOJA TUU KUENDELEZA MJI HUO. SASA WEKA HIYO AKILINI PLUS CHUKI , UNAFIKI , UZANDIKI WA KUFAGILIA VITU VISIVYOKUWA NA MSAADA NA WEWE. HIVI JIULIZE WEWE MTOA MADA JAMBO MOJA TUU HULIPOKUWA UNASOMA ELIMU YA CHEKECHEA MPAKA , CHUO KIKUU SIJUI KAMA UMEFIKA DODOMA (MAJOR ACCOMPLISHMENT OF 5 YRS OF A SINGLE PERSON) ULIKUWA UNASOMA NI KAMA MIJI MINGINE AU ?
Nyie ndio mnasema mama katoa hela ya mradi fulani , yaani Magufuli awe na hela ya kujenga Dodoma ! kaipata wapi ? acheni ujinga .

FB_IMG_1665831491154.jpg
 
Back
Top Bottom