Mimina Moet 🍾 kwenye kaburi lake, bill juu yangu.View attachment 1902387
Tafsiri isiyo rasmi Kwa kiswahili anasema, "Nchi inayojaribu kuendelea kwa kutoza watu wake kodi ni sawa na mtu aliye ndani ya ndoo kisha akajaribu kujinyanyua."
Yana ukweli wowote haya maneno? Kama yana ukweli, ni njia gani mbadala wa kodi nchi itumie?
Bila Kodi NINARUDIA bila kodi hakuna serikaliGwajima Mbunge wa Kawe anamfahamu sana Churchill. Rejea hutuba yake wakati JPM akizindua Bunge hili akimnukuu Churchill Gwajima alishauri kuwa CCM wasicheleweshwe na mbwa wanaobweka! Sasa ukileta hili la Churchill kuhusu kodi unawachanganya CCM! Tusikie wanasemaje!?
View attachment 1902387