Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Tafsiri isiyo rasmi Kwa kiswahili anasema, "Nchi inayojaribu kuendelea kwa kutoza watu wake kodi ni sawa na mtu aliye ndani ya ndoo kisha akajaribu kujinyanyua."
Yana ukweli wowote haya maneno? Kama yana ukweli, ni njia gani mbadala wa kodi nchi itumie?