Maneno haya yanamhusu Mbowe na genge lake. Hawatafanikiwa kuibomoa Chadema kwa fedha za CCM

Yaani CCM inathibitisha kabisa ni chama kinachoamini katika rushwa. Bado wanapambana tu kuwaonga watu ili waichafue CHADEMA.

CCM wameusikaje tena
Chadema

Heche kaanza kuwaogopa wenzie ndani ya Chama chake

Kukiongoza chama tu cha Siasa ndio ndugu yangu Heche anatoa Macho kiasi kile

Ndio mlitaka kuwapa nchi kupitia Maandamano yeye Vifo vya Watoto wenu😥😥😥😥😥 kupoteza nafasi ya chama tu wanaogopa na Macho ndio yale🤔🤔
 
Umeamdika kishabiki,bila kushirikisha ubongo na kwa fahari sana kama zuzu.
 
JK na mbowe ,wakafa sisiem na upinzani vitakuwa eneo salama kabisa!
 
Back
Top Bottom