Maneno kutoka moyoni kwangu kwa Miss Natafuta

Maneno kutoka moyoni kwangu kwa Miss Natafuta

natumai wazima wa afya,..ndugu zangu mnaotumia jamii forum kwanza naomba msinichoke kabisa kwa sababu haya maagizo niliyopewa namoyo wangu kupitia mkono ambao umeandika yafike hapa pahala husika...

nafikiri kila mmoja wetu mpaka akaingia jamii forum ni mtu mzima kabisa na kapitia hatua ya kupenda ama kumpenda fulani..nasema kupenda,narudia kupenda,..sasa naimani kwa wale ambao wameshapitia hawatonilaumu kwa aababu wanajua mtu akipenda ni jinsi gani anakuwa hatulii kabisa juu ya yule ampendae..

jambo lingine nimuombe huyu dada yangu mzigua achukue maagizohaya ayapeleke sehemu husika nadhanianapajua..

kisha sasa niseme kumuambia huyu mlengwa. Miss Natafuta hii ni zawadi umepewa kwani ni vigumu sana kupendwa na mtu ambae hukuwai kumdhania kumfanyia vitukoili umtege,..lakini mimi mimtoto wa mwanamke mwenzio nimenasa kwako wewe..

wadau wajamii forum mtanisamehe kwa kuwachosha lakini sifanyi kusudi ila tu moyo umetafuta shughuli ambayo sio yake mfano wa kichwa kutoka jasho wakati miguu ndiyo inayokimbia...

Miss Natafuta nakuomba tu japo pm unitumie namba zako nipate japo kukusalimia na kuzungumza huwenda hii ikapunguza maumivu na mawazo kwa kiasi fulani na hapo kwa kweliutakuwa umenipa msaada kwa kiasi kukubwa...

nakumbuka zamani mtoto akitaka kuachishwa kunyonya hupewa kichupa kina mpira ananyonya..yani anadanganywa kisaikolojia kwa kitendo kile lakini hapati lilejambo..

sasa na mimi nakuomba Miss Natafuta niwe mfano wa mtoto mchanga kwakoambae anahitaji kuachishwa kunyonya..


naomba kuwasilisha
Naona umeandika huu Uzi ukiwa unapga punyeto mkuu au ndo frustrations!!
 
Back
Top Bottom