DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Nani sasaDJ sepetu huyu naye aniitaji interview
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani sasaDJ sepetu huyu naye aniitaji interview
Hahaha hapana banaNdo zako!
Abuhafsa huyu mmiliki wa hii nyuziNani sasa
OKAbuhafsa huyu mmiliki wa hii nyuzi
Sawa kakamimi ndiyo mimi mkuu,achana na wanaosema nimekuja na jina jipya,ni uzushi tu ambao hawawezi kuuthibitisha mpaka kiama kisimame.
ikiwa wanahisi basi sawa siwezi kuzuwia mtu kuhisi kwa mujibu wa fikra zake..
Uko vizuriPoa tu mirinda
ndio mwanzo huo..mara paap kakuanzishia uzi na wewe...haahaaaaSijambo kaka,kwema?
Naona umeandika huu Uzi ukiwa unapga punyeto mkuu au ndo frustrations!!natumai wazima wa afya,..ndugu zangu mnaotumia jamii forum kwanza naomba msinichoke kabisa kwa sababu haya maagizo niliyopewa namoyo wangu kupitia mkono ambao umeandika yafike hapa pahala husika...
nafikiri kila mmoja wetu mpaka akaingia jamii forum ni mtu mzima kabisa na kapitia hatua ya kupenda ama kumpenda fulani..nasema kupenda,narudia kupenda,..sasa naimani kwa wale ambao wameshapitia hawatonilaumu kwa aababu wanajua mtu akipenda ni jinsi gani anakuwa hatulii kabisa juu ya yule ampendae..
jambo lingine nimuombe huyu dada yangu mzigua achukue maagizohaya ayapeleke sehemu husika nadhanianapajua..
kisha sasa niseme kumuambia huyu mlengwa. Miss Natafuta hii ni zawadi umepewa kwani ni vigumu sana kupendwa na mtu ambae hukuwai kumdhania kumfanyia vitukoili umtege,..lakini mimi mimtoto wa mwanamke mwenzio nimenasa kwako wewe..
wadau wajamii forum mtanisamehe kwa kuwachosha lakini sifanyi kusudi ila tu moyo umetafuta shughuli ambayo sio yake mfano wa kichwa kutoka jasho wakati miguu ndiyo inayokimbia...
Miss Natafuta nakuomba tu japo pm unitumie namba zako nipate japo kukusalimia na kuzungumza huwenda hii ikapunguza maumivu na mawazo kwa kiasi fulani na hapo kwa kweliutakuwa umenipa msaada kwa kiasi kukubwa...
nakumbuka zamani mtoto akitaka kuachishwa kunyonya hupewa kichupa kina mpira ananyonya..yani anadanganywa kisaikolojia kwa kitendo kile lakini hapati lilejambo..
sasa na mimi nakuomba Miss Natafuta niwe mfano wa mtoto mchanga kwakoambae anahitaji kuachishwa kunyonya..
naomba kuwasilisha
ni kuchanganyikiwa tu mkuu wala sio punyeto.Naona umeandika huu Uzi ukiwa unapga punyeto mkuu au ndo frustrations!!