babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Schoolmate 2009-2011 A'level PCM4Kwa Tosa boys watanielewa vizuri
1. Kukosha = Kukariri maumbo ya wadada wapita njia
2. Half mile= Chooni
Wewe wa moshi techvimbuzi-maandazi
Sifongo - kunywa uji mkavu bila kitafunwaKwa Tosa boys watanielewa vizuri
1. Kukosha = Kukariri maumbo ya wadada wapita njia
2. Half mile= Chooni
Mzumbe Kilakala= MzukilaNani anaikumbuka mzukila...?
Bondi- kuwa na demu wa kucheza nae disco (wa mzumbe tulikuwa na bond kilakala a.k.a kiley)
Ha ha ha hatari sana banzi za kalengaSifongo - kunywa uji mkavu bila kitafunwa
Chuya - form five
Usisahau Pumbu erosion (fungus sehemu za siri kwenye korodani)Kuenda Mongwe-Kuishiwa pesa,
Ngama-Ugali,
Nyali-wali,
Salo-mboga mboga,
Kuchoma-kuingia bweni na viatu,
Kupigwa Zongwe-Ugonjwa mbaya wa Ngozi unao sababishwa na Nairobi fly,
Kutoboa-Kukesha unasoma.
Hapo ni Mzumbe Sec.