Maneno maarufu secondary za bweni

Minakumbuka kaneno kauzushii ni haka apa KUTOMBESHA -- Kufungua kufuli ambalo halina funguo wake kwa kutumiaa funguo nyingineee hahahhahahaaaaa. ijoz.
 
Last edited by a moderator:
kilaza=mwanafunz wa mwisho kitaaluma
Toboa ozone=kukesha ucku kucha ukisoma
kukamia=kusomea mtihani yani paper kesho we unasoma Leo
nyari=wali
keki=ugali
kisha nuka=muda wa mlo umefika
T.O=Table one (mtu wa kwanza kuingia bwaloni Kyla mlo
 
Pola- uji.
Kupiga deki- kunywa uji bila kitafunio.
 
Nani anaikumbuka mzukila...?
Bondi- kuwa na demu wa kucheza nae disco (wa mzumbe tulikuwa na bond kilakala a.k.a kiley)
 
BOOM LIMEKATA-kuishiwa na poket money
BRASH-kugongea msosi kwa mwenzako
WID NA GAD-wowowo kwa dem
CAPETI-ukoko wa wali
 
Kuwakata mikia form one,kuvuta wakati wa kurudi likizo-kuchelewa kureport,njuka,udufi,

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Pozii=chooni,bondo=ugali, kuibuka=kuamka usiku>>>moshi tech
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…