Maneno matatu ya Kinana, Tatu ina nguvu ndo maana hata Kwa dini kuna Utatu

Maneno matatu ya Kinana, Tatu ina nguvu ndo maana hata Kwa dini kuna Utatu

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana

1 CCM sio mali ya serikali

2 CCM haiagizwi na serikali

3 CCM ndio inaiagiza serikali

Ni maneno machache yana maana kubwa

Twende kazi

Hapi Alli Nakusalimia sana

Britanicca
 
Hao ni wanasiasa wazoefu. Wanajua wanachomaanisha. Karibu tena komredi kwenye siasa.
 
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana

1 CCM sio mali ya serikali

2 CCM haiagizwi na serikal...
Kwa maneno haya Mh Rais kama Amiri Jeshi Mkuu hana nguvu akiwa serikalini mpaka akiwa chamani kama Mkt Taifa. Na serikali haina nguvu bila ya CCM.
 
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana

1 CCM sio mali ya serikali

2 CCM haiagizwi na serikali

3 CCM ndio inaiagiza serikali

Ni maneno machache yana maana kubwa

Twende kazi

Hapi Alli Nakusalimia sana

Britanicca
Katoa ujumbe kwetu... Hasa sehemu ya 3, ametuhabarisha
 
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana

1 CCM sio mali ya serikali

2 CCM haiagizwi na serikali

3 CCM ndio inaiagiza serikali

Ni maneno machache yana maana kubwa

Twende kazi

Hapi Alli Nakusalimia sana

Britanicca
😂😂😂
 
Serikali ni Mali ya CCM
 
Back
Top Bottom