NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Maana yake ni kwamba! SERIKALI HAINA ubavu dhidi ya KAMATI kuu ya CCM!!hata Mwenyekiti Anaweza kupingwa na asifanye KITU ndani ya chama!! NASUBIRIA KWA HAMU!!Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana
1 CCM sio mali ya serikali
2 CCM haiagizwi na serikali
3 CCM ndio inaiagiza serikali
Ni maneno machache yana maana kubwa
Twende kazi
Hapi Alli Nakusalimia sana
Britanicca