ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Njemba zinatamba tu sshv...
one thing hawawezi rudisha umri nyuma
one thing hawawezi rudisha umri nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mkuu wa serkali ni nani ndani ya CCM?Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana
1 CCM sio mali ya serikali
2 CCM haiagizwi na serikali
3 CCM ndio inaiagiza serikali
Ni maneno machache yana maana kubwa
Twende kazi
Hapi Alli Nakusalimia sana
Britanicca
Washamba waliiteka såna , Eti Bashiru Katibu Mkuu4. CCM ya sasa ni mali ya watoto wa mjini.
Njemba zinatamba tu sshv...
one thing hawawezi rudisha umri nyuma
Hata kut..omba hawaw.eziKwa wengine umri ni namba tu. Usisahau hilo.
He is right. Duniani kote, chama tawala ndio kinaelekeza serikali cha kufanya. Lakini kwetu ni ngumu. Mkuu wa Serikali ni mwenyekiti pia wa chama tawala. Sasa CCM itaielekeza vipi Mwenyekiti wake?Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana
1 CCM sio mali ya serikali
2 CCM haiagizwi na serikali
3 CCM ndio inaiagiza serikali
Ni maneno machache yana maana kubwa
Twende kazi
Hapi Alli Nakusalimia sana
Britanicca
Yaani, nauliza waliopo ndani ya serikali, ni wakati gani watajua mama anaongea kwa kofia ya chama na ni wakati gani anaongea kama Mkuu wa Serikali?He is right. Duniani kote, chama tawala ndio kinaelekeza serikali cha kufanya. Lakini kwetu ni ngumu. Mkuu wa Serikali ni mwenyekiti pia wa chama tawala. Sasa CCM itaielekeza vipi Mwenyekiti wake?
Chikulia neno kama kauli.Mkuu hayo sio maneno matatu bali ni sentensi tatu.
Get the record straight nigga.
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana
1 CCM sio mali ya serikali
2 CCM haiagizwi na serikali
3 CCM ndio inaiagiza serikali
Ni maneno machache yana maana kubwa
Twende kazi
Hapi Alli Nakusalimia sana
Britanicca
HahahaTeh teh teh watoto wa Kijijni vs Watoto Mjini 2025
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana
1 CCM sio mali ya serikali
2 CCM haiagizwi na serikali
3 CCM ndio inaiagiza serikali
Ni maneno machache yana maana kubwa
Twende kazi
Hapi Alli Nakusalimia sana
Britanicca
The real image stays quiet and sees if the spoken message is his!!![emoji2][emoji2][emoji2] when the shadow speaks ......
Vilipigwa Iraq, Libya, Yugoslavia, na kwingineko.5: acheni malalamiko ya kulia maisha magumu kuna vita ukraine
MjManeno ya wanasiasa huwa ni matamu sana