Maneno matatu ya Kinana, Tatu ina nguvu ndo maana hata Kwa dini kuna Utatu

Maneno matatu ya Kinana, Tatu ina nguvu ndo maana hata Kwa dini kuna Utatu

Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana

1 CCM sio mali ya serikali

2 CCM haiagizwi na serikali

3 CCM ndio inaiagiza serikali

Ni maneno machache yana maana kubwa

Twende kazi

Hapi Alli Nakusalimia sana

Britanicca
Maana yake ni kwamba! SERIKALI HAINA ubavu dhidi ya KAMATI kuu ya CCM!!hata Mwenyekiti Anaweza kupingwa na asifanye KITU ndani ya chama!! NASUBIRIA KWA HAMU!!
 
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana

1 CCM sio mali ya serikali

2 CCM haiagizwi na serikali

3 CCM ndio inaiagiza serikali

Ni maneno machache yana maana kubwa

Twende kazi

Hapi Alli Nakusalimia sana

Britanicca
Mwenezi aliyepita alitumia maneno haya matatu mkaja juu!!!
 
Back
Top Bottom