Maneno matatu ya Kinana, Tatu ina nguvu ndo maana hata Kwa dini kuna Utatu

Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana

1 CCM sio mali ya serikali

2 CCM haiagizwi na serikali

3 CCM ndio inaiagiza serikali

Ni maneno machache yana maana kubwa

Twende kazi

Hapi Alli Nakusalimia sana

Britanicca
Kwani mkuu wa serkali ni nani ndani ya CCM?
 
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana

1 CCM sio mali ya serikali

2 CCM haiagizwi na serikali

3 CCM ndio inaiagiza serikali

Ni maneno machache yana maana kubwa

Twende kazi

Hapi Alli Nakusalimia sana

Britanicca
He is right. Duniani kote, chama tawala ndio kinaelekeza serikali cha kufanya. Lakini kwetu ni ngumu. Mkuu wa Serikali ni mwenyekiti pia wa chama tawala. Sasa CCM itaielekeza vipi Mwenyekiti wake?
 
He is right. Duniani kote, chama tawala ndio kinaelekeza serikali cha kufanya. Lakini kwetu ni ngumu. Mkuu wa Serikali ni mwenyekiti pia wa chama tawala. Sasa CCM itaielekeza vipi Mwenyekiti wake?
Yaani, nauliza waliopo ndani ya serikali, ni wakati gani watajua mama anaongea kwa kofia ya chama na ni wakati gani anaongea kama Mkuu wa Serikali?
 
Sawa Kinana tumekupata ila tunakuomba uiagize serikali kuwa wananchi wanataka "Katiba Mpya."
 
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana

1 CCM sio mali ya serikali

2 CCM haiagizwi na serikali

3 CCM ndio inaiagiza serikali

Ni maneno machache yana maana kubwa

Twende kazi

Hapi Alli Nakusalimia sana

Britanicca
Your browser is not able to display this video.
 
Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana

1 CCM sio mali ya serikali

2 CCM haiagizwi na serikali

3 CCM ndio inaiagiza serikali

Ni maneno machache yana maana kubwa

Twende kazi

Hapi Alli Nakusalimia sana

Britanicca

..this is nonsense ukizingatia kwamba Raisi na Amiri Jeshi mkuu ndiye mwenyekiti wa Ccm.
 
Mwisho wa enzi kwa mataga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…