The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Kuna rafiki yangu mpemba huwa ananifurahisha anaposemaga umaskini ni nusu ya Ukafir.Hilineno (hakuna kitu mbaya Kama umasikini) nimekua nikilirudia kila wakati kuwaambia wanangu (katika maisha yako, jitahidi kuukimbia umasikini, ujinga na maradhi).
Bila pesa hiyo amani inatoka wapi? Stress tupu.Sina pesa lakin nna amani ππππ
AiseeSina pesa lakin nna amani ππππ
πππππBila pesa hiyo amani inatoka wapi? Stress tupu.