Maneno na kauli za Masikini wanapojifariji

Maneno na kauli za Masikini wanapojifariji

Hilineno (hakuna kitu mbaya Kama umasikini) nimekua nikilirudia kila wakati kuwaambia wanangu (katika maisha yako, jitahidi kuukimbia umasikini, ujinga na maradhi).
Tatizo mijitu mingine ni mivivu by nature, leo nimekuja site flani hivi, kulikuwa na kifusi cha kuhamisha, kama lorry mbili, nikaona vijana wamekaa chini ya mwarobaini wanapiga soga, nikwaambia kuna laki 1 hapa ingizeni hiki kifusi kwenye shimo, shimo lenyewe lipo kama mita 30 tu toka kwenye kifusi, eti hawataki, kazi ngumu, halafu ukiwaangalia hata uhakika wa msosi hawana, hivi hii inakuwaje hii? Mbona mi sielewi?! Nikapigia simu vijana wangu wa kazi, wakaingiza chote chapchap tena kwa elfu hamisini tu, nusu yake
 
Back
Top Bottom