Daz911
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 742
- 1,238
[emoji2][emoji2]'Hao matajiri ukifuatilia wengi hawana amani kabisa.. Mungu hakupi vyote' [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2]'Hao matajiri ukifuatilia wengi hawana amani kabisa.. Mungu hakupi vyote' [emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndio..hawezi kukupa hela akupe na amani..[emoji16][emoji16]Hapa tena umekuja na kauli mpya ya kujifariji eti ,Mungu hakupi vyote [emoji1][emoji1]
BuhahahahahahahahahahaSichagui Sibagui
Ataye nizika simjui.
Mimi nimeshajifia atakaye nizika nimjue wa kazi gani!?
Masikini ukiwasalimia ukiwa kwenye Gari watasema unawaringishia,ulipokua unatembea kwa miguu ulikua huwasalimii na usipowasalimia ukiwa kwenye Gari pia wanalalamika "Kupata Gari juzijuzi tu hata hasalimii"Halafu masikini sijui Nani aliwadanganya kwamba MTU akiwa Na Hela nyingi kuwazidi wao MTU huyo atakufa Kwanza kabla Yao masikini. Tajiri akiwapita Na Gari bila kuwasalimia utawasikia " Dah Yani huyu jamaa anatupita bila kutusalimia, anaringa Kwa Sababu ya vijihela vyake?? We ngoja Tu kwani pua yake Ina ANGALIA juu? Siku ya msiba wake atazikwa Na matajiri wenzake, Mimi siendi ng'oo!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Masikini ukiwasalimia ukiwa kwenye Gari watasema unawaringishia,ulipokua unatembea kwa miguu ulikua huwasalimii na usipowasalimia ukiwa kwenye Gari pia wanalalamika "Kupata Gari juzijuzi tu hata hasalimii"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utajiri namba Moja Ni UWE na Yesu moyoni[emoji1787]
We maskini wa akili ,gari ni kitu gani,hizo taka za japan au china mnaita gari?🤣🤣🤣🤣🤣🤣