LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kwanini niinunue n'gombe mzima wakati shida yangu Ni nyama Tu Na nyama buchani zimejaa. Nikitaka kwenda Mahali si ninapanda daladala Tu. Gari la milioni 60 la kazi ganiWe maskini wa akili ,gari ni kitu gani,hizo taka za japan au china mnaita gari?
Hapa leo naskia rafiki yangu mkubwa kavunja kiuno na uti wa mgongo akiendesha gari.
Mi nilipasua kichwa kwenye medula oblangata mwaka 2011 na gari mpaka leo niko chalechale tu.
Alafu kuna mshamba kama wewe unaona gari deeal sana.