Maneno na kauli za Masikini wanapojifariji

Maneno na kauli za Masikini wanapojifariji

Hongera naona mwenzangu unatumia WIFI ya ofisini lumumba.
Haya maisha chini ya serikali ya CCM hayana tofauti na kuishi jehanamu.
Kudownload Movie 1 inanigharimu shilingi 2000 mpaka 3000. Inakuwa nafuu kununua kwenye vibanda vya warusha movies.
Ipo siku chini ya hii serikali ya CCM 1GB tutainunua kwa 10,000.
Kabisa! Angalia kauli za bavicha kwa ccm!

Yote ile ni kujifariji,
 
Yule Ni freemasoni, pesa za makafara mi sizitaki.....[emoji57]
download-12.jpg
 
Eti "Kila mtoto ana ridhiki yake" [emoji3][emoji3][emoji3] badala asubiri kwanza hawa watoto wa Mwanzo wana ridhiki mtu unabeti hadi kwa watoto !!! Umaskini sio tupambane sio lazima wote tuwe matajiri ila hata tuwe na hali nzuri
 
Back
Top Bottom