DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Mara paaap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuma vimekaza by Dr Sebastian Ndege/ Jembe ni jembeHivi Nani muasisi wa usemi huu Na ule wa vyuma vimekaza?
HipsBastola yanini sasa?
Napambana DadaPambana na hali yako
Hata mie naona Kaka na kiamua kupotea unapotea haswa.Napambana Dada
[emoji56] [emoji56] [emoji4] [emoji4] [emoji4] ni kweli aisee, tunapambana huku na huko kwenye maisha..Hata mie naona Kaka na kiamua kupotea unapotea haswa.
Ila nimefurahi kukuona tena natumahi ubukheri wa afya. Karibu sana Kaka.
Kuna mtangazaji mmoja wa redio mawingu anaitwa kibonde ndio mwanzilishi wa uo msemoHata sijui kwakweli mi nilishangaa tu neno linatumika.
Usijali Kaka karibu tena[emoji56] [emoji56] [emoji4] [emoji4] [emoji4] ni kweli aisee, tunapambana huku na huko kwenye maisha..
Hata mimi nafarijika nawe u mzima
Miss u mkuuPambana na hali yako
Christian bella wimbo wake wa holla holla kuna sehemu anasema vyuma vimekazaHata sijui kwakweli mi nilishangaa tu neno linatumika.