Maneno na misemo iliyovuma mwaka 2017

Maneno na misemo iliyovuma mwaka 2017

Nakwenda Zimbabwe
Risasi tano za kichwa
Wala unga
Kuunga mkono juhudi za mfalme wa nchi ya makinikia.
 
Hata mie naona Kaka na kiamua kupotea unapotea haswa.

Ila nimefurahi kukuona tena natumahi ubukheri wa afya. Karibu sana Kaka.
[emoji56] [emoji56] [emoji4] [emoji4] [emoji4] ni kweli aisee, tunapambana huku na huko kwenye maisha..

Hata mimi nafarijika nawe u mzima
 
Back
Top Bottom