Shaddie Kikoti
New Member
- Jan 14, 2020
- 3
- 4
Kuna Mjadala mkali sana Unaendelea twitter, kuhusu domestic violence. Ukihusisha watu wa kawaida, celebrities, Twitter influencers wadau wa haki za wanawake "Feminist" nchini Tanzania.
Mjadala umechagizwa zaidi na video ya mdau mmoja, ambaye alionekana akimpiga vibaya mke wake, ni mtu ambae wengi hawakudhani kama angeweza fanya kitendo hicho, Ni mdau ambae anaonekana pia amekuwa akijihusisha na harakati za kumkomboa mtoto wa kike, na kama mtu anaejielewa sana. Na ndio maana wakati hiyo video ilipotoka, wengi kwanza walishangazwa , lakini pia imekuwa ndio chanzo cha mjadala mkubwa sana
Pamoja na kuwa mjadala huo ( Kwa mawazo yangu) umejikita katika kujadili juu juu,bila kuzama ndani ya sababu za kisaikolojia, kimaumbile, kimaadili na vyovyote zinazochangia halikufikia hiyo ila nauchukulia kama point nzuri ya kuchagiza mjadala wa kile kinachotokea ndani ya kuta nne za nyumba.
Hadi sasa, kuna kesi kadhaa mahakamani, za wana ndoa walio ua wenza wao, wengi washafungwa, na bado ndo tunaona mambo haya yakiendelea, nadhani ni muda muafaka, wa kukaa na kuangalia, Tumefikaje hapa, na Nini kifanyike ili jamii yetu iwe salama zaidi.
Usiseme, watu waache kukoseana kwenye ndoa, au sijui wanaume waache kukosea,au wanawake waache kukosea, sababu hilo ni jambo ambalo kwa miaka mingi ambayo binadamu ameishi duniani, limeonekana ni suala lisilowezekana. Binadamu kama Binadamu ni kiumbe chenye kufanya makosa, ni lazima atakosea tu siku moja.
So hatuwezi kucontrol mtu kukosea, ila tunaweza kucontrol reaction yetu pale mtu anapokosea, Je utafanya nini mkeo/mumeo akikukosea?
Kwenye mjadala uliopo twitter, kuna watu in a very serious mode kabisa, wanahisi ni sawia kwa mwanamke kupigwa, wakitoa sababu mbalimbali, kuwa wanawake wanakosea na wanakuwa hawana adabu, na hivyo ni kipigo ni sehemu ya adhabu. Wanapingwa the very moment wanaposema hivyo na wadau wanaopinga hivyo vitendo kwa kusema, " Mwanaume wa kweli hampigi mke" na kauli kama hizo.
Kwa vile, mambo yamefika hapa, na ni vizuri kuchagiza kwa hoja kidogo, na mimi ntajaribu Kwa saikolojia yangu ndogo Ntajaribu kwa upeo wangu, kuelezea, nini nini kinatokea hadi hali hyo inatokea.
"Maneno"- Asilimia kubwa Ya wanaume wanaopiga wake/wenzi wao, ukiwauliza watasema, alinijibu vibaya,ana mdomo sana huyu, na mambo kama hayo.
Huku Asilimia kubwa ya wanawake wanaopigwa, ukiwauliza vizuri, watasema hawajui hata ilikuwaje hadi akapigwa, alishangaa tu ameshatandikwa kofi", yeye alikuwa anauliza tu kuhusu so and so.
Chanzo cha vipigo ndani ya ndoa (Kwa maoni yangu)
kila kiumbe duniani, kilivyoumbwa na mwenyezi Mungu, kiliumbwa na namna ya asili ya kujilinda,(Kujitetea) Nungunungu alipewa miiba ya asili mwilini mwake,ukimsogelea anakuchoma nayo, Kobe amepewa nyumba ile, wakati wa hatari ana jificha humo". Kwa mwanaume na mwanamke pia ni hivyo. Kiasili mwanaume akapewa Misuli, nguvu za mwili "Physical powers" za kuzitumia wakati wa hatari, na Mwanamke yeye alipewa "Emotional Powers"
Mwanamke ni kiumbe cha hisia, hivyo hata silaha anazotumia ni silaha za kihisia sana,anatumia Emotions zaidi kuelezea hasira zake, na silaha anayotumia kujidefend ni silaha zinazoshambulia Emotions. Mfano "Maneno" Huku mtaani uswahilini, kila siku kuna mdada, anashutwa kwa kuwa kaiba mume wa mtu, au kala hela ya vikoba, Hiyo ndio silaha yao kubwa.Maneno. Na wanajua kuyatumia sana'
Wakati Mwanaume ni kiumbe kinachoamini katika Physical power, ndo maana wanaume wakikoseana, labda watakunjiana tu ngumi, fresh, ila sijui kununiana, na kutoleana maneno ya shombo (Emotions warefare) hawana) wao its more of a physical battle.
On another note, Mwanaume na Physical powers zake yupo so weak kwenye Emotions powers, Silaha zinazoshambulia hisia, ni kali sana kwa mwanaume, hasa ikipenya sehemu husika, inauwezo wa kuharibu kila kitu. na kibaya zaidi ni kuwa yeye kama Mwanaume, mara nyingi anakuwa hawezi kujibu mashambulkizi kwa kutumia silaha hiyo hiyo.
So Ugomvi katika mahusiano unaweza kuwa case ndogo tu, ila ikafika levo ya kurushiana maneno na hali ya tension kuwa kubwa. Mwanamke anaona kuna hatari, analease silaha yake ya asili, silaha ya kushambulia hisia" Silaha Ya maneno" Yanamtoka maneno makali, na sumu kali, ambazo zinamuingia mwanaume kisawasawa , Neno dogo kama " Kama wewe kweli ni mwanaume, nisogelee uone" lina uwezo wa kuamsha mdudu alielala ndani ya mwanaume, na kujikuta amepandwa na hasira ambazo sio za nchi hii, sababu, Moja Yeye hawezi jibishana na mwanamke,lakini pia, Mwanaume anajiona yupo kwenye hatari kama hivyo, shambulio dhidi ya Utu wake, dhidi ya uanamume wake, anajikuta pasipo kupenda anatumia silaha yake ya asili, phyiscal powers. na hapo ndo mikono na mateke yanapoihusika.
Mwisho wa siku wanaumizana, na baadae ni majuto matupu.
Hivyo mimi ninadhani chanzo cha Ukatili ndani ya mahusiano, kunatokana na umuhimu wa kujitetea ; Katika hali ya hatari Mwanamke anashambuliwa anajitetea kwa kujibu vibaya zaidi, mwanaume anapokea hilo kama shambulio dhidi yake, na yeye silaha ya maneno haijui, anajitetea kwa silaha yake anayoijua mateke na ngumi.
So utatuzi mkubwa zaidi, wa hili suala upo kwenye, Je Ukikosewa na Mwenzi wako Unafanya nini??, Mume amekukosea, Unarusha maneno ya shombo au unafanya nini? Mke amerusha maneno ya shombo? una nyanyua mkono au unafanya nini?
Nini kifanyike?
Mwisho wa siku, Domestic violance is on both side, Na hiki ndicho kitu ambacho katika mjadala mrefu wa Twitter sijaona kikizungumzwa. Nimesolve kesi za watu kadhaa ambazo Mwanamke alikuwa wa kwanza kurusha ngumi, na mwanaume akaijibu, sema mwanamke akaumia zaidi sababu hana ubavu wa kushindana na mwanaume.
Na bado kuna kesi nyingi za wanaume ambazo zina kuwa unreported sababu ya Ego,na wanaume kuona aibu. Ila jumla ya yote nadhani ni wakati sahihi wa jamii kuweka mijadala kama hii wazi, na kujifunza namna ya kuikabili.

- Wanandoa wapya/ Vijana walio tayari kuingia katika mahusiano, wafundishwe kiundani, tofauti zakimaumbile baina yao, na wajue kiundani na namna wanavyoweza kuzitumia tofauti zao kwa faida yao na ya ndoa yao. Na namna wanavyoweza kuzitumia tofauti zao kuepusha migongano kuwa mikubwa zaidi
- Wanawake, wafundishwe na waelewe, athari ya maneno yao kwa mwanaume. Na Nguvu inayobebwa na maneno yao.Neno dogo la dharau kutoka kwa mwanamke, linauwezo wa kuamsha morali hasi sana kwenye akili ya mwanaume. kama tu ambavyo mayowe ya mashabki yanavyoweza kusababisha timu ikapata morali ya kufunga, ndivyo ilivyo. Tambua kuwa unachosema, kinaenda kufanya kitu. Fikiria mara mbili kabla haujatoa neno lolote wakati wa ugomvi.
- Wanaume, watambue kuwa kutumia nguvu za miili, mateke,ngumi, hakutatui tatizo, mara nyingi kunamfanya mwanamke awe sugu tu wa vipigo. Sio njia sahihi sana ya kuonesha uanaume wako, ingawa daima kutakuwa kuna kale ka sauti kanako kupush uthibitishe kuwa wewe ni kidume, hasa kama umekuwa proved kwa maneno na hata vitendo vya mwanamke kwa kiasi cha kuathiri your ego. Kipigo sio njia sahihi ya kuprove ur Ego.
- Watu wajifunze Kufahamu aina ya malezi ambayo mwenza wake amekulia kabla na ujue ni namna gani yataathiri in positive or negatively mahusiano yenu, mijadala yenu na namna mnavyoendesha maisha yenu, na uwe tayari kuchukuliana nayo au ikibidi kuyaepuka; Kuna watu wamekuwa katika familia zenye malezi ya kimagharibi sana, wengine kiarabu sana, na wengine kiswahili na kibantu. Tamaduni zote hizi, zina utofauti katika namna zinavyochukulia haya mambo. Hivyo ni muhimu kujua, mwenzako ana background gani, na ametoka katika malezi gani, na ujue namna unavyoenda kujakabili.
- Dawati la Jinsia lianze katika ngazi za chini, mijadala kuhusu jinsia, na tofauti zilizopo baina ya jinsia , kipi jinsia moja inaweza fanya vyema zaidi, kipi jinsia nyingine ipo vyema zaidi, iwe wazi.
- Jitihada za kuijenga jamii, iliyopevuka, inayoweza kukabiliana na ugomvi katika more civilised way,ziendelee. Swali la je tunajamii ya watu ambao wakitukanwa wanafanya nin? kama reaction ya kwanza?? Maana haya mambi huanza katika micro(Individual ) level na kukua kukua hadi kuwa katika macro na inakuwa kama tabia ya jamii nzima