Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Huyu sasa anakuwa kama "Sizitaki Mbichi Hizi"MAKOLOKOLO YAO NIMEYAPATA KABLA YA WAO KUZINDUA
Shukrani zote ziwaendee majembe wangu majasusi waliopo katikati yao. Walijidai wana siri wakati najua kila kitu wanachofanya.
Sasa rafki yangu vunja bei badala ya kuzindua jersey unaleta sare za kwaya ya kijitonyama hahahaha
Wameweka adi happy birthday ya kanjibai eti Mo 29 hahaha
Ukiangalia vizuri makwapani wameweka adi vibanda vya MPESA hahaha
Bro hizi kazi ni za watu usione nimedamshi ukazani ni kaZi ndogo. Anyway kama utawauzia kilogram 5 kwa buku its okay 😃
Nafurahi kuskia huu mwezi hautoisha kabla ya moto mkali kuwaka kwenye nyumba yao, I'm not a fool namaanisha .
Mwenyewe anajiita semaji la dunia 😂Huyo aliletwa dunian kukera watu...kwahiyo alivyokuwa anawakera yanga sasa ubao umegeuka...heeheheheheee
Depression kivip wakat anatetea ugali wake we 9.8 million kutoka laki Saba halafu asiwaseme vibaya simba wakati ndio kazi yake?Manara anahitaji msaada wa Kisaikolojia,yuko kwa depression kubwa,kuondolewa Simba kumeacha maumivu makali sana ya moyo wake.Walio karibu yake na wanaompenda kweli wamsaidie aweze kuvuka salama stage hii
Let us imagine simba ikakosa kikmbe hata kmoja yaan wachukue ligi wakose FA au wachukue FA wakose Ligi imagine Manara na shombo zake Nchi itakuaje?Vikombe Vije Simba Tu Hilo Ndiyo Kubwa Kuliko Yote
Hata Wavae Madela Ila Jezi Ni Nzuri Mengine Ni Utani Wa Jadi Lazima Uwepo Tufurahi
Mbona Haji anakua na mdomo mrefu saanaah hvyo??
Sijawah kuona mwanaume mmbea Kama huyu jamaa!!
Simba sc, haina inshu naye, kaongea kuhusu Mo wee anaona haitoshi, Sasa anamgeukia Vunja Bei na timu yake!
Kama Ni sare ya kijitonyama inamhusu Nini??
Haji manara, jifunze kwa Nugaz, mbona yeye haropokiropoki Kama wewe, au wewe Ni Bora kuliko Nugaz!?
Sometimes tumia hekima haji, unajishusha na unajipelekea uhasama na watu waliokuwa upande wko!
Anafanya kazi yake tu kama alivyokua Simba yaan ni kukanyagia kibaya na kizuri ili mradi kitokee kwa wapinzani kwake yeye n kibayaHuyu sasa anakuwa kama "Sizitaki Hizi"
Ameandikaje mkuu??Mleta maada ni muongo jamaa hajaandika hayo
Hivi ameanza leo kuropoka? Mlikuwa wapi?Mbona Haji anakua na mdomo mrefu saanaah hvyo??
Sijawah kuona mwanaume mmbea Kama huyu jamaa!!
Simba sc, haina inshu naye, kaongea kuhusu Mo wee anaona haitoshi, Sasa anamgeukia Vunja Bei na timu yake!
Kama Ni sare ya kijitonyama inamhusu Nini??
Haji manara, jifunze kwa Nugaz, mbona yeye haropokiropoki Kama wewe, au wewe Ni Bora kuliko Nugaz!?
Sometimes tumia hekima haji, unajishusha na unajipelekea uhasama na watu waliokuwa upande wko!
Depression kivip wakat anatetea ugali wake we 9.8 million kutoka laki Saba halafu asiwaseme vibaya simba wakati ndio kazi yake?