Maneno ya Haji Manara baada ya Simba kuzindua Jezi

Maneno ya Haji Manara baada ya Simba kuzindua Jezi

Hiyo mihela inayosemekana Yanga wanamlipa haijatokomeza hiyo depression akilini mwake tu?.Wanasema fedha ni jawabu la mambo yote.

Unajua Depression wewe? Matajiri wangapi wanajikuta katika hili tatizo kubwa pamoja na kuwa na mihela tena ni millions of $$! Itakuja kuwa Manara anaelipwa haizid 5M kabla ya kodi tena kwa Madafu.Acheni masihara,msaidieni ndugu yenu,Depression inammaliza kimya kimya.
 
Dr. Haji Manara ni Genius kwenye kuongea ndio maana namwita Dr. Haji Manara
Doctor? Haji ni mke aliyeachika na kuanza kutoa Siri za ndani za mumewe, ati anatokea mume asiyejitambua na kuweka ndani mke wa hovyo kama huyu, subirini waachane ya Simba yatakuwa na afadhali
 
Unajua Depression wewe? Matajiri wangapi wanajikuta katika hili tatizo kubwa pamoja na kuwa na mihela tena ni millions of $$! Itakuja kuwa Manara anaelipwa haizid 5M kabla ya kodi tena kwa Madafu.Acheni masihara,msaidieni ndugu yenu,Depression inammaliza kimya kimya.
Kwa masihara aliyo nayo kupata Depression sio rahisi
 
Manara msema kweli jamani dah jezi kama kitenge vile mabango meengi kama timu ni ya kanjibhai.
 
MAKOLOKOLO YAO NIMEYAPATA KABLA YA WAO KUZINDUA

Shukrani zote ziwaendee majembe wangu majasusi waliopo katikati yao. Walijidai wana siri wakati najua kila kitu wanachofanya.

Sasa rafki yangu vunja bei badala ya kuzindua jersey unaleta sare za kwaya ya kijitonyama hahahaha

Wameweka adi happy birthday ya kanjibai eti Mo 29 hahaha
Ukiangalia vizuri makwapani wameweka adi vibanda vya MPESA hahaha

Bro hizi kazi ni za watu usione nimedamshi ukazani ni kaZi ndogo. Anyway kama utawauzia kilogram 5 kwa buku its okay 😃

Nafurahi kuskia huu mwezi hautoisha kabla ya moto mkali kuwaka kwenye nyumba yao, I'm not a fool namaanisha .
Ukiona mtu analeta thread ya maneno ya shoga msukule humu

Ujue mleta hoja Pia ni shoga
 
MAKOLOKOLO YAO NIMEYAPATA KABLA YA WAO KUZINDUA

Shukrani zote ziwaendee majembe wangu majasusi waliopo katikati yao. Walijidai wana siri wakati najua kila kitu wanachofanya.

Sasa rafki yangu vunja bei badala ya kuzindua jersey unaleta sare za kwaya ya kijitonyama hahahaha

Wameweka adi happy birthday ya kanjibai eti Mo 29 hahaha
Ukiangalia vizuri makwapani wameweka adi vibanda vya MPESA hahaha

Bro hizi kazi ni za watu usione nimedamshi ukazani ni kaZi ndogo. Anyway kama utawauzia kilogram 5 kwa buku its okay [emoji2]

Nafurahi kuskia huu mwezi hautoisha kabla ya moto mkali kuwaka kwenye nyumba yao, I'm not a fool namaanisha .
Ataishi kwa matamanio mabaya kwa adui milele kwani siamini iwapo kuna siku adui uliwahi muombea mema

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
[emoji28]
hajismanara-20210905-0001-picsay.jpeg
 
Huyo aliletwa dunian kukera watu...kwahiyo alivyokuwa anawakera yanga sasa ubao umegeuka...heeheheheheee

Uzuri huo ukeraji wake ndiyo umewafanya Mashabiki wa Simba wanunue jezi kwa wingi kumkomesha.Kama Viongozi wa Yanga wanajielewa walipaswa kuliona hili,Manara anaitangaza Brand ya Simba kwa njia hiyo kuliko hata Yanga.Subiri uone na Simba Day,Mashabiki sasa hivi wanatenda ili kumkomesha Manara.Hakuna Bad Publicity hasa katika biashara.Umeona jezi zilivyovuja zinavyouzika kwa sasa.

Sisi tunaomba aendelee na huo ukeraji wake maana ni faida kwa Simba.One Team,One Dream[emoji123]
 
Back
Top Bottom