Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
- Thread starter
- #61
Now days mashabiki wa kibongo tumekua smart somehowUzuri huo ukeraji wake ndiyo umewafanya Mashabiki wa Simba wanunue jezi kwa wingi kumkomesha.Kama Viongozi wa Yanga wanajielewa walipaswa kuliona hili,Manara anaitangaza Brand ya Simba kwa njia hiyo kuliko hata Yanga.Subiri uone na Simba Day,Mashabiki sasa hivi wanatenda ili kumkomesha Manara.Hakuna Bad Publicity hasa katika biashara.Umeona jezi zilivyovuja zinavyouzika kwa sasa.
Sisi tunaomba aendelee na huo ukeraji wake maana ni faida kwa Simba.One Team,One Dream[emoji123]