Maneno ya Haji Manara baada ya Simba kuzindua Jezi

Ndo kazi yake hiyo Bob
 
Muulizeni je, na Sisi wenye Majasusi hadi ndani ya Familia yake ( tena Dada zake ) pale Buguruni na Ilala Bungoni tuseme jinsi Mwarabu wake aliye Kigamboni sasa ( japo anaishi sana UAE ) anavyomtumia?
 
Itakuwa huko kuropoka ndo kunakomlisha.Kama anapata hasara ataacha mwenyewe lakini tukiona haachi basi kwa vyovyote vile ana maslahi na huko kuropoka kwake.
 
Manara anahitaji msaada wa Kisaikolojia,yuko kwa depression kubwa,kuondolewa Simba kumeacha maumivu makali sana ya moyo wake.Walio karibu yake na wanaompenda kweli wamsaidie aweze kuvuka salama stage hii
Hiyo mihela inayosemekana Yanga wanamlipa haijatokomeza hiyo depression akilini mwake tu?.Wanasema fedha ni jawabu la mambo yote.
 
Acha aendendelee ili kila mtu auone ushenzi wake.Maana kuna watu wako Simba walijidai eti kumlilia!

Kwanza binafsi siku nyingi sikuwa namkubali kwa maneno yake ya viwango vya chini sana hata kama aliisema yanga.Alivyoondoka nilifutahi sana maana naiona Simba iko level juu mno kuliko Manara.Manara akili hana aliifanya Simba idharaulike.Manara ni size ya yanga maana wao bado wana uswahili mwingi sana
 
Muulizeni je, na Sisi wenye Majasusi hadi ndani ya Familia yake ( tena Dada zake ) pale Buguruni na Ilala Bungoni tuseme jinsi Mwarabu wake aliye Kigamboni sasa ( japo anaishi sana UAE ) anavyomtumia?
ah genta vipi
 
Wakati yupo simba mbona alikua anawachachafya yanga.
 
Mwambie huyo mropokaji hiyo ni trailer tu, bado movie yenyewe Simba Day ndio atatapika minyoo yote tumboni.
 
Manara ni mtu wa jazba..
Historia ya watu aliogombana nao ipo wazi..
Maneno yote yakero anayotoa,ni sehemu ya kutoa jazba zake..
Wananchi wanapaswa kuwana akiba yamaneno..Siamini wakitokea wadhamini zaidi ya watano na wote wakatoa mpunga mzuri kujibrand kupitia Yanga eti watakataa..
Mpira pesa.. vingine kelele tu..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…