Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
- Thread starter
-
- #61
Now days mashabiki wa kibongo tumekua smart somehowUzuri huo ukeraji wake ndiyo umewafanya Mashabiki wa Simba wanunue jezi kwa wingi kumkomesha.Kama Viongozi wa Yanga wanajielewa walipaswa kuliona hili,Manara anaitangaza Brand ya Simba kwa njia hiyo kuliko hata Yanga.Subiri uone na Simba Day,Mashabiki sasa hivi wanatenda ili kumkomesha Manara.Hakuna Bad Publicity hasa katika biashara.Umeona jezi zilivyovuja zinavyouzika kwa sasa.
Sisi tunaomba aendelee na huo ukeraji wake maana ni faida kwa Simba.One Team,One Dream[emoji123]
Ni mshenzi tu ila tatizo ni kwamba uropokaji Wa hovyo umeanza kitambo sana na sisi wana Yanga tuliongea sana kuhusu hilo cha ajabu wana Simba mlimshabikia sana kwa huo ujinga wake ila Leo sijui ni nini kimewaingia mnaanza kutusimulia namna msemaji anavyopaswa kuwakidunula1 Manara kweli semaji la dunia ana do without protocol kimtaan mtaan tu anaendesha taasisi
Tatizo na wewe kakuchanganya sanaDoctor? Haji ni mke aliyeachika na kuanza kutoa Siri za ndani za mumewe, ati anatokea mume asiyejitambua na kuweka ndani mke wa hovyo kama huyu, subirini waachane ya Simba yatakuwa na afadhali
Shida inaanzia hapa kwamba na wewe mbona unaonesha kuwa na depression kwa kusimangwa simangwa na Haji? Vumilia usife tu!Tunachojua ni Depression is killing him slowly.Waliomuondoa Simba hatokaa awasahau maisha yake yote hadi anaingia kaburini.
Nilimtoa thamani tangu alivyokuwa Simba sijawahi kumsifia Wala kuufurahia upuuzi aliokuwa anauongeaTatizo na wewe kakuchanganya sana
Mwanjo mwanjo tu na hata mashabiki watataka kumuonyesha manara akua msaada kwao in contrary muda utaongea,simba kwenye upande wa hamasa na social media manara ana mchango wake 100%,followers wa twitter na insta hawawaja kibahatiKinachomuuma Manara ni kuona Mo na Barbara wamempuuza,mashabiki ndo tuanamalizana nae,ilo jambo linamuuma sana Manara.
Tabia za kike hizo .mwanaune ukiw hivyo kuna siku utafirwDepression kivip wakat anatetea ugali wake we 9.8 million kutoka laki Saba halafu asiwaseme vibaya simba wakati ndio kazi yake?
Naona Manara anapambana na washabiki Viongozi wana kazi nyingi za kufanya mmeamua kweli wanasimbaApuuzwe tu chombo ya Mzee ToziView attachment 1924426
Simba malengo ni kufika fainali CAF CL wenzetu wako kwenye mipasho ya viwalo hata mechi ya tarehe 12 September hawana mpango nayo timu inafanya match ya majaribio na Urafiki Rangers timu ya wavuta bangi wa Ndondo cupNaona Manara anapambana na washabiki Viongozi wana kazi nyingi za kufanya mmeamua kweli wanasimba
Shida inaanzia hapa kwamba na wewe mbona unaonesha kuwa na depression kwa kusimangwa simangwa na Haji? Vumilia usife tu!
Mwanjo mwanjo tu na hata mashabiki watataka kumuonyesha manara akua msaada kwao in contrary muda utaongea,simba kwenye upande wa hamasa na social media manara ana mchango wake 100%,followers wa twitter na insta hawawaja kibahati
Wakati yuko kolo katublock sana Wananchi,kibao kimegeuka sasaNa hao hao followers ndiyo wanamshikisha adabu kwa page yake hadi anaamua kuwablock.Nilidhana ana uwezo wa kuhimili kumbe hola
Wakati yuko kolo katublock sana Wananchi,kibao kimegeuka sasa
Ni mgeni kwako akiwa kazini? 9M+toka .7Msi mchezo mwache afanye kazi alifirisika alipokuwa anapokea .7MMhurumie tajiri aliyefilisika kuliko mgojwa aliye hospital, maana tajiri hutembea na kuongea peke yake huku akirusha rusha mikono, mgonjwa huomba nurusra pekee
Haji ni mfano wa tajiri aliyefilisika