ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Yeye ameshatekeleza huko kwake? Maneno hayajengi gorofaUzee dawa, Uzee hekima. Maneno ya Rais Museven kwenye mkutani wa viongozi wakuu barani Afrika kuhusu maendeleo.
Msikilize mwenyewe kwenye hiyo video hapo chini.
Bigup sana Museven.