Wamejifunza vipi kuacha walichokizoea mpaka kurekebisha huo ujinga wao? Maana spana ni kama walizizoea tu kama sikio la kufaHawa walikuwa watoto wa 2000's wengi sasa hivi wamekuwa watu wazima wamepunguza huu ujinga.
Huko ni kuharibu lugha wala hakuonyeshi upana wa lugha bali ujinga tu. Kuna watu wanasoma lugha ya Kiswahili huko Marekani na Ulaya wanafundishwa subule wakifika huku wanakuta vilaza wanasema seble.ni matamshi tu, sio jambo la kushangaza.
na hiyo inaonesha jinsi lugha yetu adhimu ya kiswahili ilivyo pana, imechangamka, inapitia mageuzi, inakua.
Madalali ndio wanaeneza hilo neno! Utaamsikia chumba na 'seble'! Fanaleki!Nachukia kusikia mtu anasema seble
Au yereeeh halafu Arif anajibu yeyooMi kwenye salamu vijana ndio wananichosha ,utasikia "Oii" na mwenzake anamjibu "Oiii" eti ndio wamesalimiama hapo.
Wimbo wanaita mwimbo shenzySiku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!
Ni lahaja tu.Huko ni kuharibu lugha wala hakuonyeshi upana wa lugha bali ujinga tu. Kuna watu wanasoma lugha ya Kiswahili huko Marekani na Ulaya wanafundishwa subule wakifika huku wanakuta vilaza wanasema seble.
Pia neno wapuuzi linakosewa sana namna linavyotafsiriwaLisaa badala ya Saa
neno hili huharibiwa sana wapuuzi wa Dar
Ni kawaida kwa lugha zote duniani hivi unajua neno "OK" limetokana na neno "Oll Korrect" wakimaanisha "All Correct"Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!