min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Vijana hamna vijipesa wala maamuzi š¤kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi gentleman![]()
Vijana hamna vijipesa wala maamuzi š¤kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi gentleman![]()
Nilishawahi kumpiga jamaa mmoja kisa alisema nyimbo hii.Badala ya kusema
"Wimbo huu"
Wanasema
"Nyimbo hii"
huana haja ya kubabaika nao then gentleman,Vijana hamna vijipesa wala maamuzi š¤

Naniliu sijui huwa inamaanisha nini.Kitu hichi badala ya kitu hiki
Usikariri mkuu,yaani uone njaa halafu usindwe kuisikia kweli..!?š¤š¤š¤
ubarikiwe saana mkuu. Nilidhani pekeangu tu. japo sipendi kutaja makabila ya watu, lakini wandengeleki na wazalamo wamezidi hapo. Na akibadili lugha utaskia anasema SITINGILUM. Sijui tatizo lipo wapi aiseeeNachukia kusikia mtu anasema seble
Mimi pesa walishapambana mababu ukiona nazungumza chochote humu ni mimi mwenyewe tu gentlemanhuana haja ya kubabaika nao then gentleman,
pambana kwa namna yako wewe mwenye pesa na maamuzi bila usumbufu kwa wengine na itapendeza zaidi![]()
Tena ya kikorofi mno mtaalamu ,mimi ku like nikutengeneza tu ukaribu na watu.mtaalam...nikajua we upande wako ni wa kulike tu,kumbe na makomenti umo..!š
Ninaona njaa au ninahisi njaa?.Muda kutamka mda ni Sawa ila kuandika. Pia kwenye maadili Hamna KITU maadili mema Bali maadili NI maadili.
Pia kwenye dhehebu Hamna kitu dhehebu Bali madhehebu mfano madhehebu ya kikatoliki, madhehebu ya kilutheri, madhehebu ya Sunni, Shia nk.
Siyo dhehebu la sabato Bali madhehebu ya kisabato siyo dhehebu la Sunni Bali madhehebu ya Sunni.
Pia kupiga umbea, kupiga umalaya yote NI sahihi kwenye Kiswahili.
Pia neno ninaona njaa NI neno sahihi Tu kwenye Kiswahili. Pia nahisi njaa. Siyo nasikia njaa siyo sahihi.
Source ITV 2006-2007
Mtaalam WA Kiswahili jamii forums
Nyau de adriz
Hauna pesa wala akili gentleman šhuana haja ya kubabaika nao then gentleman,
pambana kwa namna yako wewe mwenye pesa na maamuzi bila usumbufu kwa wengine na itapendeza zaidi![]()
Upo na hupoNinaona njaa au ninahisi njaa?.
Pia watu wanaoshindwa kutofautisha neno ndiyo na neno ndio, niko na nipo.
Mtu badala ya kusema,Hicho kiti=iko kiti
Hana muda=ana muda
Naomba hela=naomba ela
Halima ni Alima
Mwanaidi ni Mhanaidi
Hamisi ni Amis
Masikini ni maskin
pesa mingi iko shambani genteman haina haja ya kubabaika na kuchakaza soli sana kwa lami mjiniMimi pesa walishapambana mababu ukiona nazungumza chochote humu ni mimi mwenyewe tu gentleman

Madalali wa Kigamboni haoNachukia kusikia mtu anasema seble
Hana muda na ana muda ni vitu viwili vyenye maana mbili tofauti, kwahiyoHicho kiti=iko kiti
Hana muda=ana muda
Naomba hela=naomba ela
Halima ni Alima
Mwanaidi ni Mhanaidi
Hamisi ni Amis
Masikini ni maskin
gentleman,Hauna pesa wala akili gentleman š

Kuongezea, matumizi ya L na R!Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!
Dog zangu.Dogo zangu moja siku hiyo limetuma sms ndefu ndefu ivi kuifungua nakuta mbwembwe kibao maeksi eksi mengi, ma sii sii ya kutosha na ujinga mwingine mwingine mfano wa huo