Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,148
- 6,060
songi linakaa unyamaBadala ya kusema
"Wimbo huu"
Wanasema
"Nyimbo hii"
songi linakaa unyamaBadala ya kusema
"Wimbo huu"
Wanasema
"Nyimbo hii"
Vijana vijana vijana nyie ni taifa la keshowe kijana acha uropokaji, unaharibu lugha ya,0 kiswahili![]()
Upo wapi?Ni heri hayo seble, mziki na mda
Sio Xeble, xhule, ixhu aaah kmmk walah nachukia hii lugha
Gentleman,Vijana vijana vijana nyie ni taifa la kesho
Upo wapi?

Sahihi lakini kuna standard language,ile ambayo inatumika CNN au BBCNi lahaja tu.
Huko ulaya na marekani mbona nako kuna haya mambo. Marekani ina lahaja 30 za kiingereza. Uingereza ina lahaja 40.
Nikiangalia filamu za wamarekani huwa nafurahia sana nikisikia kiingereza cha Texas, wana matamshi/maneno yao fulani hivi.
Umesahau tabia za lugha? Lugha huzaliwa, hukua na hufa. Itakuaje bila lahaja?
Dialect ni tofauti na pronunciation.Ni lahaja tu.
Huko ulaya na marekani mbona nako kuna haya mambo. Marekani ina lahaja 30 za kiingereza. Uingereza ina lahaja 40.
Nikiangalia filamu za wamarekani huwa nafurahia sana nikisikia kiingereza cha Texas, wana matamshi/maneno yao fulani hivi.
Umesahau tabia za lugha? Lugha huzaliwa, hukua na hufa. Itakuaje bila lahaja?
Ila lugha huwa ina tabia ya kubadilika kilingana na vizazi. Maneno ya lugha ya kiswahili ya miaka ya 1980 mengi yamebadilikaSiku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!
Hizo ni rejesta tu, kuendana na muktadha maalum.Sahihi lakini kuna standard language,ile ambayo inatumika CNN au BBC
Pronounciation ipo ndani ya dialect mkuu.Dialect ni tofauti na pronunciation.
Aisee hunizidi mimi katika kuwachukia watu wa namna hiyo. Halafu watu maarufu ndio wanaotuharibia jamii unakuta jitu kubwa kabisa lakini linavyoongea au kuandika sasa, ni kinyaa tupu!Mimi nachukia kuna watu wanasema ela badala ya hela, aya badala ya haya. akitaka kusema hana hela anasema ana ela. maniiiina
Vijana wa lumumba ,sio kwamba hamna akili nikwamba hamna pesa na mnatamani muwe nazo nawawaonea huruma sana 😭Gentleman,
umeona hapo katikati kwenye silabi k iliyofuatiwa na m lugha ya kiswahili ilivyohatibiwa kwa makusudi?![]()
na huyu mtaalamu wa lugha wanasema yeye anasema wansema....😎Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!
mtaalam...nikajua we upande wako ni wa kulike tu,kumbe na makomenti umo..!😁Vijana wa lumumba ,sio kwamba hamna akili nikwamba hamna pesa na mnatani muwe nazo nawawaonea huruma sana 😭
..ni kukua kwa lughaIla lugha huwa ina tabia ya kubadilika kilingana na vizazi. Maneno ya lugha ya kiswahili ya miaka ya 1980 mengi yamebadilika
Dogo zangu moja siku hiyo limetuma sms ndefu ndefu ivi kuifungua nakuta mbwembwe kibao maeksi eksi mengi, ma sii sii ya kutosha na ujinga mwingine mwingine mfano wa huoBasi itabidi tuawazoo tu vilaza wa insta wanasema "tyuu" badala ya "tu" , "piah" badala ya "pia"
yaani uone njaa halafu usindwe kuisikia kweli..!?🤔🤔🤔Muda kutamka mda ni Sawa ila kuandika. Pia kwenye maadili Hamna KITU maadili mema Bali maadili NI maadili.
Pia kwenye dhehebu Hamna kitu dhehebu Bali madhehebu mfano madhehebu ya kikatoliki, madhehebu ya kilutheri, madhehebu ya Sunni, Shia nk.
Siyo dhehebu la sabato Bali madhehebu ya kisabato siyo dhehebu la Sunni Bali madhehebu ya Sunni.
Pia kupiga umbea, kupiga umalaya yote NI sahihi kwenye Kiswahili.
Pia neno ninaona njaa NI neno sahihi Tu kwenye Kiswahili. Pia nahisi njaa. Siyo nasikia njaa siyo sahihi.
Source ITV 2006-2007
Mtaalam WA Kiswahili jamii forums
Nyau de adriz
kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi gentlemanVijana wa lumumba ,sio kwamba hamna akili nikwamba hamna pesa na mnatani muwe nazo nawawaonea huruma sana 😭
