Maneno ya kuibembeleza na kuikingia kifua Israel ni aibu kwa ulimwengu. Ndiyo yanayowapa jeuri mayahudi kuwaoneo wapalestina

Shetani mchokozi akipigwa analia lia... pelekeni malalamiko yenu kwa sanamu Allah. Netanyahu kamzabua makofi kwa ukorofi sasa hamna wa kumlilia...

Vita zote za waislam wakitaza kuwateketeza Waisrael wamekwama zote tokea miaka hiyo na bado hawakomi... Huruma za Waisrael ndizo zinafanya arabs kuendelea kuwepo kwenye ardhi Takatifu.. hamna lingine kibaya huruma zimewafanya waisrael waonekane wabaya.. kweli wema usizidi uwezo... Netanyahu kaza tu hadi wanye
 
Israel inapigana na mtu aliyefungwa miguu na mikono na dunia nzima inaangalia.Hicho ni kichapo gani.Ni aibu tupu kwa dunia.
 
Ogopa sana na kumdhihaki Allah.
Hana papara wala hadhuriki na matusi yako.Isipokuwa jambo moja ni la uhakika huwa hapuuzi kitu .Kila kitu kinaandikwa na kuhukumiwa.
Katika huu mkasa wa Gaza kuna wengi wataanguka na wengi watainuka.
 
Ogopa sana na kumdhihaki Allah.
Hana papara wala hadhuriki na matusi yako.Isipokuwa jambo moja ni la uhakika huwa hapuuzi kitu .Kila kitu kinaandikwa na kuhukumiwa.
Katika huu mkasa wa Gaza kuna wengi wataanguka na wengi watainuka.
Kwanini Hamas walipoivamia Israel Oct 7 mataifa mengine hawakuionya Kwa kuichokoza israeli halafu Israel inavyojibu mapigo ndio mnaongea?
 
Mkiambiwa hamna akili ndio maana mnaona ndoa za watu wajinsia moja bora kuliko uke wenza

Ukiambiwa huna akili unaweza kusema umetukanwa kumbe ndio tafsiri inayopatikanwa ndani ya koment yako

Kwanza nenda kajifunze halafu urudi tena
Wewe huna akili, yani unajiona mwarabu kwakuwa ni muislamu kama siyo upumbavu ni nini?

Mtu kuwa Mkristo siyo mzungu na hakuna doctrine ya Biblia inayofundisha ushoga.

Ukristo na Uzungu ni vitu viwili tofauti, hata ni muislamu lakini siyo mwarabu, kama unajihisi ni Mwarabu basi ukapimwe akili.
 
Mkiambiwa hamna akili ndio maana mnaona ndoa za watu wajinsia moja bora kuliko uke wenza

Ukiambiwa huna akili unaweza kusema umetukanwa kumbe ndio tafsiri inayopatikanwa ndani ya koment yako

Kwanza nenda kajifunze halafu urudi tena
Nijifunze madrassa? Ikiwa akili yako ya Madrassa inatafakari ushoga sasa nitajifunza nini?
 
Iran ndio tegemeo la "Wauaji na washangiliaji wa mauaji ya 7/10, sasa kama yeye mwenyewe kachapwa sebuleni kwake unategemea nini?
 
Hiyo ndio inaitwa mwana ukome, kama wamefungwa mikono na miguu waliwezaje kwenda kufanya ugaidi Israel?
Walipokuwa mikono na miguu yao iko huru ndio waliamua kujitetea dhidi ya udhalili.Sasa ndio walitakiwa waachiwe huru mpaka mwisho waendelee kujitetea.
 
Yaan nimekaa kwangu ukaja nivamia na kuchukua watoto wangu,ntakuua mpaka kizazi chako cha mwisho.
Ndio nia ya Hamas ambao sio kuuliwa tu watu wao na mababu zao walihamishwa majumbani mwao tangu mwaka 1948.Hawawezi kukubali kuachia mateka au kuweka silaha chini kihivi hivi.
Ukichukulia ki asilimia basi Israel ilionja tu ubaya wa inachokifanya kila siku na tangu mwaka 1948
 
Wataisha basi au wajiandae kufanya uchaguzi wa viongozi wao kila baada ya miezi
 
Wataisha basi au wajiandae kufanya uchaguzi wa viongozi wao kila baada ya miezi
Wako wengi tu.Wameshauliwa wengi na msimamo ni huo huo.
Waisrael nao wanaisha na watachoka tu kila vita vinavyosonga mbele,
 
Kweli kabisa, nasikia ndio chanzo cha waarabu kutesa watu weusi huko kwao
 
somalia, Sudan, afghanistan, northen nigeria mbona kuna magaidi wanapigana jihad na hakuna wayahudi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…