Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hapana siku ile ulikua kanisani unapokea barakaHAYA ALIKUELEZA SHEIKH KINTINKU. NILIKUWEPO SIKU ILE. ALIELEZA SANA ... UMEYEBEBA BILA KUPIMA... 🤣🤣🤣🤣🤣
Anaesumbua watu blinken ambae yupo tel avivu analialiaThen tusisikie kilio kila mtu ashinde mechi zake. Israel hawajawahi lalamika wao ni kutembeza kichapo kufundisha adabu. Na hao magaidi unaosema hawawezi kuacha wapigane sasa.
Msituchoshe watu hawataki kuacha mapigano nyinyi mnasumbua humu eti Israel ndio iache
KILA MTU ASHINDE MATCHES ZAKE HAKUNA KULIA KULIA NA KULALAMIKA.Israhell hakuna wayahudi bali kuna wazayuni wahamiaji walojikusanya kutokea pembe mbali mbali wakaenda kumwagwa pale mashariki yakati
Nalengo kubwa la kuundwa taifa la israhell ni ili ulimwengu wa kiarabu na kiislamu pale mido ist usije ukakaa kwa amani nandio kinachoendelea leo hii pale
Kipindi cha nyuma kidogo south Africa alipeleka mashtaka ya kutaka Neta akamatwe sijui iliishia wapi,labda mkawastue Tena warudi kwenye mahakama ya kimataifa kuchukua warranty ya kumkamata Neta,
Otherwise unapiga Domo Bure na wenzio wavaa njiwa wanaendelea kuisha
Nikikwambia huna akili utasema unaonewa au unatukanwa ila ukweli huna akili kweliWewe huna akili, yani unajiona mwarabu kwakuwa ni muislamu kama siyo upumbavu ni nini?
Mtu kuwa Mkristo siyo mzungu na hakuna doctrine ya Biblia inayofundisha ushoga.
Ukristo na Uzungu ni vitu viwili tofauti, hata ni muislamu lakini siyo mwarabu, kama unajihisi ni Mwarabu basi ukapimwe akili.
Kama ndugu yako wa karibu amekukataza,unategemea south ndo akukombea?Ritz alibebea bango hii hoja week mbili. Nikamwambia we kilaza sana. Unashangilia Ujinga. Subiri uone majibu ya Netanyau. Yalionekana.
Mashoga mtafakari nyie munaowapa air time makanisaniNijifunze madrassa? Ikiwa akili yako ya Madrassa inatafakari ushoga sasa nitajifunza nini?
South mwenyewe ana matatizo lukuki.. nlimwona bwege sana. Kule ndani weusi wanauana kama kuku daily, uchumi wake umeyumba hadi umeme wa mgao sometimes anataka akapatie ujiko suala la Hamas na Magaidi wake. Bwege sana yule. Miafrika mipuuzi sana. Sasa hana hamu tena.Kama ndugu yako wa karibu amekukataza,unategemea south ndo akukombea?
Mbona wenzie pale middle east wanaishi vzr2 hawana shida lakini wao kutwa kuhangaika na vitu visivyo na msingi mpaka anaharibu nchi
Kutesa mtu iwe mweusi iwe mweupe ni hulka ya mtuKweli kabisa, nasikia ndio chanzo cha waarabu kutesa watu weusi huko kwao
Wanapigana jihadi na nanani jihad maana yake nini?somalia, Sudan, afghanistan, northen nigeria mbona kuna magaidi wanapigana jihad na hakuna wayahudi?!
Hii dunia mkiachwa lgbtq pekeenu si itakua sio mahala salama?Kipindi cha nyuma kidogo south Africa alipeleka mashtaka ya kutaka Neta akamatwe sijui iliishia wapi,labda mkawastue Tena warudi kwenye mahakama ya kimataifa kuchukua warranty ya kumkamata Neta,
Otherwise unapiga Domo Bure na wenzio wavaa njiwa wanaendelea kuisha
Dunia mkiachwa LGBTQ pekeenu mtaweza kuishi?piga wavaa vipedo hao
Anaelialia nani?KILA MTU ASHINDE MATCHES ZAKE HAKUNA KULIA KULIA NA KULALAMIKA.
Defense minister Yoav Gallant,waziri wa ulinzi wa Israel,Daniel Hagar
Hawezi kujitetea mwenyewe mpaka umtetee?Ogopa sana na kumdhihaki Allah.
Hana papara wala hadhuriki na matusi yako.Isipokuwa jambo moja ni la uhakika huwa hapuuzi kitu .Kila kitu kinaandikwa na kuhukumiwa.
Katika huu mkasa wa Gaza kuna wengi wataanguka na wengi watainuka.
Bora hao LGBTQ,maana uhakika wa kuishi kwa amani ni 100% kwahyo utaamua mwenyewe sasa uwe LGBTQ au ubaki njia kuu.Hii dunia mkiachwa lgbtq pekeenu si itakua sio mahala salama?
Tangu vita vianze hakuna hata nchi moja ambayo imetoa maneno ya kuikemea Israel kikamilifu au kutaja matendo yao kuwa ni haramu.
Badala yake utasikia maneno kama ilichofanya Israel huko Gaza yanaweza kuwa ni uhalifu wa kivita.Yanasemawa hayo wakati yaliyofanywa madogo kuliko hayo maeneo mengine duniani kama Sudan huwa yanapewa hadhi kamili ya uhalifu wa kivita.Sudan huwa wanarushiana mikuki tu na kuchomeana nyumba zao za nyasi na dunia nzima inaona.Huku matumizi ya mabomu mazito kuua watu vipande vipande haionekani ni tatizo kubwa.
Rais Biden karibuni ataitembelea Israel na anasema akifika huko ataishinikiza Israel isitishe vita.
Ilichotakiwa ni kuacha kuitembelea kabla ya kusitisha vita au asema atailazimisha kusitisha vita sio kwenda na maneno ya kinyonge nyonge kama hayo huku kila siku ipitayo kasi ya kuuaa na kuhamisha wagonjwa na watu waliochoka kuhama kwenda maeneo ambayo hayana hata nyumba yakiendelezwa kufanya na Israel.
Tumezoea kuisikia Marekani ikitoa amri kali na vikwazo vya kiuchumi kwa wahalifu ambao huwa uhalifu wao kwanza haujathibitishwa na huwa ni uhalifu mdogo kuliko huo wa Israel.
Ukisikiliza mataifa ya kiarabu na kiislamu ambayo yalitarajiwa kuja juu zaidi hali ni hiyo hiyo.Mara Israel ndiyo iliyohusika kufanya uovu fulani huku uovu huo ukijulikana wazi wazi nani aliyeutenda.Wengina huwa wanatoa maazimio ya kuitambua Palestina na uungaji mkono wake unaishia kuwa ni wa maneno peke yake.Wanaosema wataingia Israel kuwatetea wapalestina na kadhalika huwa ni kwa maneno tu.
Kitendo kibaya kilichofanyika majuzi masjidul aqswa cha kundi la mayahudi kuingia na kufanya ibada zao za kufru zingewakasirisha sana mataifa ya kiislamu lakini wote wametoa maneno mepesi na kurudi kwenye ikulu zao kulala.
Uzembe huo wa dunia nzima ndio uliomfanya waziri wa ulinzi wa Israel,Daniel Hagar hapo jana kusema kwa jeuri na kujiamini kuwa iwapo Israel itashambuliwa basi mataifa washirika zake wataingia kati kuwatetea.
Israhell hakuna wayahudi bali kuna wazayuni wahamiaji walojikusanya kutokea pembe mbali mbali wakaenda kumwagwa pale mashariki yakati
Nalengo kubwa la kuundwa taifa la israhell ni ili ulimwengu wa kiarabu na kiislamu pale mido ist usije ukakaa kwa amani nandio kinachoendelea leo hii pale