Maneno ya kuibembeleza na kuikingia kifua Israel ni aibu kwa ulimwengu. Ndiyo yanayowapa jeuri mayahudi kuwaoneo wapalestina

Maneno ya kuibembeleza na kuikingia kifua Israel ni aibu kwa ulimwengu. Ndiyo yanayowapa jeuri mayahudi kuwaoneo wapalestina

HAYA ALIKUELEZA SHEIKH KINTINKU. NILIKUWEPO SIKU ILE. ALIELEZA SANA ... UMEYEBEBA BILA KUPIMA... 🤣🤣🤣🤣🤣
Hapana siku ile ulikua kanisani unapokea baraka

Kumbuka vyema au ile baraka ilikua haijakuingia vyema?
 
Then tusisikie kilio kila mtu ashinde mechi zake. Israel hawajawahi lalamika wao ni kutembeza kichapo kufundisha adabu. Na hao magaidi unaosema hawawezi kuacha wapigane sasa.
Msituchoshe watu hawataki kuacha mapigano nyinyi mnasumbua humu eti Israel ndio iache
Anaesumbua watu blinken ambae yupo tel avivu analialia

Mapambano yapo sana mpaka bungo litemwe
 
Kipindi cha nyuma kidogo south Africa alipeleka mashtaka ya kutaka Neta akamatwe sijui iliishia wapi,labda mkawastue Tena warudi kwenye mahakama ya kimataifa kuchukua warranty ya kumkamata Neta,
Otherwise unapiga Domo Bure na wenzio wavaa njiwa wanaendelea kuisha
 
Israhell hakuna wayahudi bali kuna wazayuni wahamiaji walojikusanya kutokea pembe mbali mbali wakaenda kumwagwa pale mashariki yakati

Nalengo kubwa la kuundwa taifa la israhell ni ili ulimwengu wa kiarabu na kiislamu pale mido ist usije ukakaa kwa amani nandio kinachoendelea leo hii pale
KILA MTU ASHINDE MATCHES ZAKE HAKUNA KULIA KULIA NA KULALAMIKA.
 
Kipindi cha nyuma kidogo south Africa alipeleka mashtaka ya kutaka Neta akamatwe sijui iliishia wapi,labda mkawastue Tena warudi kwenye mahakama ya kimataifa kuchukua warranty ya kumkamata Neta,
Otherwise unapiga Domo Bure na wenzio wavaa njiwa wanaendelea kuisha

Ritz alibebea bango hii hoja week mbili. Nikamwambia we kilaza sana. Unashangilia Ujinga. Subiri uone majibu ya Netanyau. Yalionekana.
 
Wewe huna akili, yani unajiona mwarabu kwakuwa ni muislamu kama siyo upumbavu ni nini?

Mtu kuwa Mkristo siyo mzungu na hakuna doctrine ya Biblia inayofundisha ushoga.

Ukristo na Uzungu ni vitu viwili tofauti, hata ni muislamu lakini siyo mwarabu, kama unajihisi ni Mwarabu basi ukapimwe akili.
Nikikwambia huna akili utasema unaonewa au unatukanwa ila ukweli huna akili kweli

Uarabu na uislamu wala haviendani kama maji na mafuta uislamu ndio umeufundisha uarabu kua kuna uislam wala sio kinyume chake

Uislamu uliukuta uarabu unaabudia masanamu kama munayoabudia nyie huko makanisani mukiwa munapewa baraka ndio ukapigwa msasa uarabu wakaambiwa kama yale masanamu sio Mungu hili lakwanza kama hujui Muhammad s.a.w ambae ndie mtume wa umma huu alikuta wazee wake wanaabudia masanamu kwamana walikua sio waislam ila walikua waarabu kwahio kuhusiana na kuwapenda waarabu kwakua hawakua waislam inatakiwa nyie makafiri ikiwemo wewe muwatetee kwahili

Ukristo ni dini yawazungu na imeletwa na wazungu acha kubisha kijana labda uwe hujasoma ila kama umesoma utajua huu ukweli vyenginevyo iwe kama kawaida yenu mnafata mkumbo bila kufanya research

Pia nikiamua kuwatetea waarabu nna haki zote zakuwatetea kijana kama jamii ya asili yetu ila sio dini pia nikikwambia akili huna utaanza anza kulalama lalama

Kafate chimbuko la ukristo ulipotokea kijana uache kubishana bila kujua majambo na kafatilie chimbuko la dini ilokua unafuatwa na waarabu kabla ya ujio wa mtume Muhammad s.a.w
 
Ritz alibebea bango hii hoja week mbili. Nikamwambia we kilaza sana. Unashangilia Ujinga. Subiri uone majibu ya Netanyau. Yalionekana.
Kama ndugu yako wa karibu amekukataza,unategemea south ndo akukombea?
Mbona wenzie pale middle east wanaishi vzr2 hawana shida lakini wao kutwa kuhangaika na vitu visivyo na msingi mpaka anaharibu nchi
 
Nijifunze madrassa? Ikiwa akili yako ya Madrassa inatafakari ushoga sasa nitajifunza nini?
Mashoga mtafakari nyie munaowapa air time makanisani

Sisi tunawakumbusha tu kama hilo chukizo mbele za Allah na kesho mtaulizwa

Pia nikunasihi sana usije ukakubali kufa ikiwa bado hujatamka shahada utakua miongoni mwa waliopata khasara na motoni hutotoka
 
S
Kama ndugu yako wa karibu amekukataza,unategemea south ndo akukombea?
Mbona wenzie pale middle east wanaishi vzr2 hawana shida lakini wao kutwa kuhangaika na vitu visivyo na msingi mpaka anaharibu nchi
South mwenyewe ana matatizo lukuki.. nlimwona bwege sana. Kule ndani weusi wanauana kama kuku daily, uchumi wake umeyumba hadi umeme wa mgao sometimes anataka akapatie ujiko suala la Hamas na Magaidi wake. Bwege sana yule. Miafrika mipuuzi sana. Sasa hana hamu tena.
 
Kweli kabisa, nasikia ndio chanzo cha waarabu kutesa watu weusi huko kwao
Kutesa mtu iwe mweusi iwe mweupe ni hulka ya mtu

Na kama umefika nchi za kiarabu utakuta watu weupe kama wabengali kule pamoja na rangi zao ila hawana thamani hata kidogo na mateso wanakula juuu
 
Kipindi cha nyuma kidogo south Africa alipeleka mashtaka ya kutaka Neta akamatwe sijui iliishia wapi,labda mkawastue Tena warudi kwenye mahakama ya kimataifa kuchukua warranty ya kumkamata Neta,
Otherwise unapiga Domo Bure na wenzio wavaa njiwa wanaendelea kuisha
Hii dunia mkiachwa lgbtq pekeenu si itakua sio mahala salama?
 
Ogopa sana na kumdhihaki Allah.
Hana papara wala hadhuriki na matusi yako.Isipokuwa jambo moja ni la uhakika huwa hapuuzi kitu .Kila kitu kinaandikwa na kuhukumiwa.
Katika huu mkasa wa Gaza kuna wengi wataanguka na wengi watainuka.
Hawezi kujitetea mwenyewe mpaka umtetee?
 
Hii dunia mkiachwa lgbtq pekeenu si itakua sio mahala salama?
Bora hao LGBTQ,maana uhakika wa kuishi kwa amani ni 100% kwahyo utaamua mwenyewe sasa uwe LGBTQ au ubaki njia kuu.

Nyie mkiachwa baada ya mwaka mmoja Dunia itakuwa na watu wachache sana maana mtakuwa mshalipuana wenyewe
 
Tangu vita vianze hakuna hata nchi moja ambayo imetoa maneno ya kuikemea Israel kikamilifu au kutaja matendo yao kuwa ni haramu.

Badala yake utasikia maneno kama ilichofanya Israel huko Gaza yanaweza kuwa ni uhalifu wa kivita.Yanasemawa hayo wakati yaliyofanywa madogo kuliko hayo maeneo mengine duniani kama Sudan huwa yanapewa hadhi kamili ya uhalifu wa kivita.Sudan huwa wanarushiana mikuki tu na kuchomeana nyumba zao za nyasi na dunia nzima inaona.Huku matumizi ya mabomu mazito kuua watu vipande vipande haionekani ni tatizo kubwa.

Rais Biden karibuni ataitembelea Israel na anasema akifika huko ataishinikiza Israel isitishe vita.
Ilichotakiwa ni kuacha kuitembelea kabla ya kusitisha vita au asema atailazimisha kusitisha vita sio kwenda na maneno ya kinyonge nyonge kama hayo huku kila siku ipitayo kasi ya kuuaa na kuhamisha wagonjwa na watu waliochoka kuhama kwenda maeneo ambayo hayana hata nyumba yakiendelezwa kufanya na Israel.
Tumezoea kuisikia Marekani ikitoa amri kali na vikwazo vya kiuchumi kwa wahalifu ambao huwa uhalifu wao kwanza haujathibitishwa na huwa ni uhalifu mdogo kuliko huo wa Israel.

Ukisikiliza mataifa ya kiarabu na kiislamu ambayo yalitarajiwa kuja juu zaidi hali ni hiyo hiyo.Mara Israel ndiyo iliyohusika kufanya uovu fulani huku uovu huo ukijulikana wazi wazi nani aliyeutenda.Wengina huwa wanatoa maazimio ya kuitambua Palestina na uungaji mkono wake unaishia kuwa ni wa maneno peke yake.Wanaosema wataingia Israel kuwatetea wapalestina na kadhalika huwa ni kwa maneno tu.

Kitendo kibaya kilichofanyika majuzi masjidul aqswa cha kundi la mayahudi kuingia na kufanya ibada zao za kufru zingewakasirisha sana mataifa ya kiislamu lakini wote wametoa maneno mepesi na kurudi kwenye ikulu zao kulala.

Uzembe huo wa dunia nzima ndio uliomfanya waziri wa ulinzi wa Israel,Daniel Hagar hapo jana kusema kwa jeuri na kujiamini kuwa iwapo Israel itashambuliwa basi mataifa washirika zake wataingia kati kuwatetea.

Mayahudi yapigwe tu.
 
Israhell hakuna wayahudi bali kuna wazayuni wahamiaji walojikusanya kutokea pembe mbali mbali wakaenda kumwagwa pale mashariki yakati

Nalengo kubwa la kuundwa taifa la israhell ni ili ulimwengu wa kiarabu na kiislamu pale mido ist usije ukakaa kwa amani nandio kinachoendelea leo hii pale

Waarabu na waisilam hawajawahi kuwa na akili. Wanapigana na hawamjui adui wao ni nani. Kama huamini nenda Somalia, Sudan nk ndo utaelewa
 
Back
Top Bottom