Maneno ya mwandishi Ansbert Ngurumo juu ya utawala wa awamu ya tano

Maneno ya mwandishi Ansbert Ngurumo juu ya utawala wa awamu ya tano

Imegomaaa kufungukaaa

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Kwamba chochote anachokifanya wewe unakijua ama???
Kabisaaa,huyo ni mkimbizi wa kiuchumi,anajitengenezea legitimacy ya kuendelea kuishi scandinavia
Analipwa posho nono ya ukimbizi,jumba la bure na kazi nzuri tu kwenye NGo
 
Yupo sahihi kabisa ,na bado cha Moto tutakiona mpaka tutakapo pata Akilina kustuka Usingizini na kusema baasi kwa vitendo.
 
Maisha maisha ndiyo yetu...Mwafrica ndio furaha yake kuu.

Kwa kisingizo cha kupigania Ukoloni mamboleo.
 
Back
Top Bottom