KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
LOo, 'Mzizi wa Mbuyu'!Huku una soma bure kabisa la kwanza hadi chuo kikuu, na unatibiwa bure zahanati hadi muhimbili!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama ataelewa ulichoandika hapo! Hata akielewa, najua atatafuta visababu kede kede vya kujifanya haelewi.
Nawe nikuulize mkuu: hivi 'mbuyu' una mzizi imara? 'Mbuyu' una 'tap root'?
Kama hivyo ndivyo sivyo, huu wako ukoje?