Maneno ya mwandishi Ansbert Ngurumo juu ya utawala wa awamu ya tano

Maneno ya mwandishi Ansbert Ngurumo juu ya utawala wa awamu ya tano

Allegations nyingine ni za kweli nyingine za kitoto ...
 
Hakika Bongo ya Leo, mateso makubwa wanayopitia watanzania walio wengi kutokana na mfumo wa utawala wa huyu jamaa, ile "praise team" yake haiyaoni, badala yake kila linalofanyika hapa TZ ni kumsifu na kumwabudu Jiwe pekee!

Hata hivyo kwa kuwa mabeberu, wakiongozwa na Marekani weshaaanza kuchukua hatua, naamini hatachukua siku nyingi ku-survive
 
1582518855477.png
 
Nilikuwa nikimsikia Kangi Lugola akisema wapinzani hapa Tanzania hasa akina Mbowe watalimia meno awamu hii. Alikuwa na maana gani?
 
Kabisaaa,huyo ni mkimbizi wa kiuchumi,anajitengenezea legitimacy ya kuendelea kuishi scandinavia
Analipwa posho nono ya ukimbizi,jumba la bure na kazi nzuri tu kwenye NGo
Mkuu, ungejikita kwenye kujibu HOJA alizozieleza ungeeleweka Zaidi kuliko kushambulia mtu badala ya HOJA. Mnatufanya hata wengine ambao sio wafuatiliaji wa mambo kumuamini asemacho.
 
Yupo sahihi kabisa ,na bado cha Moto tutakiona mpaka tutakapo pata Akilina kustuka Usingizini na kusema baasi kwa vitendo.
Natamani enzi za kuvaa midabwada na kula ugali wa njano zirudi ili akili zikae sawa
 
Nadhani huyu jamaa akitokea aende vijijini awaambie wapiga kura hayo maneno watampiga mawe. Kila alichokitaja kama sababu ni fabricated lies.
TAARIFA YA MSAADA NA MAOMBEZI.

➡ Ndugu yetu na Mtanzania mwenzetu bwana ABAS JAPHALI Mkazi wa Mkoani Ruvuma wilaya ya Tunduru kijiji cha Namwingu Anaumwa mguu wake ambao ulivunjika Mara tatu na Mkono kwa Ajari ya kugongwa na Gari.

➡ Aligongwa na Gari Miaka 3 iliyopita akaenda hospital ya Rufaa ndanda alipofika Kule alilazwa na kupata matibabu kwa Siku kadhaa baadae alitakiwa kupelekwa Katika Upasuaji na aliombwa Tsh. 800,000/= (Laki Nane) , Kwa Uaba wa Pesa aliokuwa nao ilimbidi afungashe na Kurudi nyumbani hivyohivyo bila Upasuaji.

➡Aliporudi nyumbani Aliishi maisha ya kuwa analetewa kila kitu (Kusaidiwa) na ndugu zake. Sasa yapata Miaka 3 yupo nyumbani hali ya Mguu wake inazidi kuwa mbaya zaidi Unataka kuoza.Ndugu zake wamejaribu kuomba msaada hadi kwa Viongozi wa Serikali ya kata Bila msaada wowote.

➡Leo Hii ameamua kuwashirikisha na Watu wa FACEBOOK,TWITTER na INSTAGRAM .... Kuna baadhi yetu tumekuwa tukienda Sehemu mbalimbali za Ibada hivyo ameomba Mfanye maombezi Juu ya Afya yake. Kwa kuwa nguvu ya maombi ni Nuru tosha kwa Uhai na Ustawi wa Afya zetu.

▶Lakini pia Kuna baadhi yetu labda tungependa kumuuliza chochote,Kumsaidia Kifedha au Kumpa Pole Wasiliana nae 0764003143 / 0712263660.

⤵Tafadhali Share Ujumbe huu Katika Media au Magroup mbalimbali Ili tuweze pata Msaada zaidi maana Haya ni Mapito tu.
Maombi yako ni Muhimu sana hata kama huna Fedha. Tumuombee.
 
Back
Top Bottom